Mkuu!! Sikubaliani na hili aisee,, mm ni shabiki wa Man U,, lakn kwa uchezaji wa huu wa timu toka amechukua Mourhno siiufurahii kabsa,, anashinda leo game ijayo anapigwa,,,,Makombe aliyopata mourinho mwaka mmoja man u ni mengi kushinda iliyopata timu kama Arsenal na Liverpool miaka kama 10 iliopita.
Liver na Arsenal watakuwa makocha wao ni waokota mipira kabisa kwa hii logic
Hiyo united ya 92 haitorudi kamwe! Ni kama barca ya kina xavi inniesta nk haitorudi kamwe! Ondoa hayo mawazo mgando na potofu akilini mwako dunia inasonga mbele hairudi nyuma.Mkuu!! Sikubaliani na hili aisee,, mm ni shabiki wa Man U,, lakn kwa uchezaji wa huu wa timu toka amechukua Mourhno siiufurahii kabsa,, anashinda leo game ijayo anapigwa,,,,
Tukubari au Tukatae Untd now uko na hali mbaya sana,, toka ameondoka Babu Untd imekuwa sio chochote tena pale OT timu yoyote inaenda na kuchukua point tatu,,ni aibu sana kulinganisha mafanikio ya Untd kwa hv sasa et toka amekuja Mourhno amechukua makombe mengi zaidi ya Arsenal na Liverpool,, Aibu Iliioje hii
Tunataka United ile ya Class 92,,ilifanya maajabu fainali ya UEFA ya 1999 na ile ya mwaka 2008,,,mbona Babu aliweza na tena kwa kulea vijana tu,,, now Mourhno Ana kila kitu,,, lkn hakuna tunachokiona zaidi ya kutoleana maneno ya lawama na wachezaji wake,,,, kaishiwa mbinu!!!
fabihno hata team ya taifa hakufikiliwa kuitwa umlinganishe na Fred aliyekuwepo benchi la Brazil acha utoto kwenye football, hauwezi linganisha Fred,matic ,pogba,kisha Henderson, fabihno, keita kuwa mkweli. Kwa Salah ni tofauti Hakuna ubishi anaujua England Mzima upande wa kulia ni yeye kushoto hazardKazi ipo, hivi watu wanamjua vizuri mbrazil Fabinho au ndio mahaba niue?
Kuna kiungo mwenye uwezo zaidi ya Fabinho pale Old Traford?
Kuna Forward yeyote mwenye uwezo mkubwa kwenye kufinish kwenye goal chances kama Salah pale Old traford?
Hebu angalia hilo gape la uefa na ilichukua muda gani mpaka kuipata? Kama unaifahamu man u ya 2008 ni work on progress karibia miaka 6 mpaka fergie ilibidi atafute kocha msaidizi ambaye alikabidhiwa mikoba kama kocha mkuu, timu ilikuwa inafanya vibaya mno tulikuwa mpaka tunatolewa makundi uefa (refer benfica) hata ligi mourinho alitusumbua kipindi hiki. Kocha msaidizi akaleta vijana wake wanaoongea kireno kina kleberson, Anderson, Ronaldo, Nani na wengineo mpaka tunakuja kuipata man u ya 2018 tukatawala UEFA miaka 5 fainali 3 na nusu mbili kama sijakosea. fergie huyu huyu kwanini alishindwa kwa kipindi hiki? Inaonesha ukocha sio playstation kwamba unasajili na kupanga tu, ukocha una mambo mengi.Mkuu!! Sikubaliani na hili aisee,, mm ni shabiki wa Man U,, lakn kwa uchezaji wa huu wa timu toka amechukua Mourhno siiufurahii kabsa,, anashinda leo game ijayo anapigwa,,,,
Tukubari au Tukatae Untd now uko na hali mbaya sana,, toka ameondoka Babu Untd imekuwa sio chochote tena pale OT timu yoyote inaenda na kuchukua point tatu,,ni aibu sana kulinganisha mafanikio ya Untd kwa hv sasa et toka amekuja Mourhno amechukua makombe mengi zaidi ya Arsenal na Liverpool,, Aibu Iliioje hii
Tunataka United ile ya Class 92,,ilifanya maajabu fainali ya UEFA ya 1999 na ile ya mwaka 2008,,,mbona Babu aliweza na tena kwa kulea vijana tu,,, now Mourhno Ana kila kitu,,, lkn hakuna tunachokiona zaidi ya kutoleana maneno ya lawama na wachezaji wake,,,, kaishiwa mbinu!!!
Europa? Au umelisahau hilo? Leo hii hamuendi kucheza UEFA sababu mmepigwa Kwenye kombe ambalo MOU kalichukua. Hivi timu yenu toka ianzishwe mshawahi chukua ubingwa wa ulaya? Kitu ambacho mou kakifanya msimu wa kwanza.Acha kuongea pumba
Kwa hiyo miaka 10 , arsenal ana 3 FA cups and 3 community shields
Huyo mou hapo man u ana 1 FA CUP, 1 CARABAO and 1 community shield
Haya njoo na uropokaji mwingine
Jamaa ameongea kinyonge sanaFull quotes
https://www.manutd.com/en/events/liveevents?eventtag=09082018MourinhoLiveFollowthepressconference
An update on the squad's fitness
“There are no miracles. The players with a proper pre-season, they are fit and they are strong. For example, Alexis has played lots of matches and lots of minutes, he is more than ready. But you cannot have the players that arrived on the last Monday, after World Cup semi-finals, finals and three weeks of holidays, you cannot expect them to be fit.
"Apart from that, we have some injuries. Some are expected and some are unexpected. Matic, we weren't expecting him to be injured and needing a surgery after the World Cup. Dalot, we knew he had surgery on his meniscus and we have to wait a couple of months before he is ready.”
My aims for this season
“The target is the Leicester match and the tactics to be changed - in Championship Manager you can just press a button. In football, you need time to work and you need players on the pitch to work with which we didn't have until now. I said that during pre-season - it looked like I was saying something absolutely out of order, it looked like I was saying something crazy – but I repeat, pre-season is difficult when you don't have your players to work with. It's as simple as that.”
The media is hard to believe
“It is difficult for me to believe that we finished second. When I listen, when I read, not much but sometimes I do, it's difficult to believe that we finished second because you [the media] are capable of making people finish second look like they were relegated and you're capable of making people who win nothing and finish below us look like serial winners… Sometimes it's difficult to believe - I won eight championships and three Premier Leagues, but I keep saying, thinking and feeling that the second position last season was one of my biggest achievements in the game.”
Time to stop thinking about transfers
“I'm not confident and the market closes today, so it's time - at least for me - to stop thinking about the market because the market will be closed, so I will have to focus on the players I have in relation to this first couple of matches, maybe three matches, because after Spurs there is an international break. It gives us a couple of weeks to recover people, to prepare people better and to focus on the players that are available, so I'm not even thinking about that list of players I gave you - Matic, Valencia and so on. I focus just on what we have and we go with everything to the first match.”
My World Cup stars may not be fit
“They returned on Monday. They trained on Monday, Tuesday, Wednesday and today, so you can imagine that they're not really fit and ready, but we have needs. The list that I gave you before of the injured players is an important list and today after training I will speak with that group of players because everybody is different - physically and mentally - to see how available they feel they are. Their feeling is very important and to understand how they think they can help or not help.”
Several players are injured
“Unavailable is Romero - he had a surgery after his injury before the World Cup. Valencia - he was injured in pre-season. Marcos Rojo - he was injured in the World Cup. Dalot - he had a surgery at Porto by the end of April and he is not yet ready. Ander Herrera - injured against Bayern. Matic - injured in the World Cup and surgery in Philadelphia a couple of weeks ago. I think that's it.”
We are ready for Friday night
“It's a match, an important match. We would prefer to have a couple of more days, but the decision was [for us] to be the first to play and that's it. We are ready.”
edwoodward na maisha ya nje ya uwanjaDamn