Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Not sure if he wants to leave or our club just wanted him and he refused.
Boateng is on final years on his career he want more MONEY which Bayern cannot afford his preference club is PSG

PSG must sell player in order to buy another players due to FFP
 
Tangu pep mwenye mafanikio awaache,huyu ni kocha wa 3 lakini wanashindania makombe na sio top 4 au kushiriki eufa tu
Pep alifundisha Barca miaka 3 tu kama alivyofundisha Zizou SAF alifundisha United 26 years

Na licha ya kuondoka Pep aliwaacha world class players Messi,Busquets,Pique,Xavi,Iniesta,Alves so ilikuwa kazi rahisi kuwaongeza kina Neymar,Suarez,Alba.SAF ameondoka amewaacha kina Smalling,Young,Valencia,Jones kibaya zaidi Moyes + LVG walisajili wachezaji wengi ambao wamechemsha kuchezea United
 
Man Utd have signed as many sponsors as they have players in the transfer window and they have run out of excuses in the summer transfer window.
 
Hili linaeleweka sema tunajitia upofu,playing style yetu haiwavutii wachezaji wenye majina makubwa pale.
Kama that's case sidhani kama
Van Djik
Alves
Fred
Sanchez
Jorginho

Wangekataa kwenda kucheza Man City ya Pep Guardiola na sidhani kama United ingeweza kuwasajili Pogba,Lukaku,Mikhi,Fred wakati Mourinho ndio kocha
 
Four problems Manchester United need to address before the transfer deadline

Time is running out for Jose Mourinho to solve the problems at Man Utd this summer as the transfer deadline is getting closer.

As the transfer window closes before the start of the Premier League season for the first time, teams have less time to assemble their squads than usual.

Maybe Manchester United did not anticipate how different the transfer window would play out with an early deadline, or maybe they have just been complacent and left some of their dealings until the last minute.


One thing for certain is that this has been a tricky summer for United, and Jose Mourinho is running out of time to solve the problems that have arisen since the season finished last May.

There is every chance Mourinho could land his desired central defensive target and sort the futures of his want-away first teamers. However, the closer he gets to the 5pm deadline on Thursday without addressing these key problems, the more chance they will disrupt the club over the coming season.

Problem 1: Central defence

Mourinho has chased a high profile central defensive signing all summer, but still appears no closer to landing any of his identified targets.
Toby Alderweireld would offer experience and quality in defence, and would be worth spending money on. Just look at the impact Virgil Van Dijk has had for Liverpool. It is worth investing in quality.
But the deal has dragged on all summer, and failure to land Alderweireld would be a big defeat for Mourinho.
Then there is United's pursuit of Harry Maguire after his World Cup exploits.
Leicester insist Maguire is not for sale, yet talk of a world record bid for a defender has persisted for weeks. Maguire would be a good signing, but whether he is worth upwards of £65m is debatable and would put a lot of pressure on the England man.
United's other options would not solve the problem in defence.
Yerry Mina would need time to settle in, while Jerome Boateng may add stability in the short-term but he is said to be reluctant to make the switch.
Amidst all the rumours, Mourinho's defender hunt may have affected his current crop of defenders, too. Marcos Rojo, Chris Smalling, Phil Jones, Eric Bailly and Victor Lindelof will have all seen the transfer speculation, no doubt.
If Mourinho doesn't get his man, he may have a task on his hands to motivate them for the season.

Problem 2: Anthony Martial and Matteo Darmian

Mourinho doesn't want to keep players who want to leave. Ed Woodward doesn't want to sell his better players.
Something has to give. Darmian's situation is simpler than Martial's - he will probably return to Italy, but is currently needed to cover for Antonio Valencia's injury. He had performed professionally in pre-season, but if a move away doesn't materialise he would have every right to be unhappy.
As for Martial - Mourinho has handled the whole affair in typical Mourinho style.
As a result, there may not be any way back for the Frenchman. United don't want to sell to a Premier League rival, and want to recoup the £58m they spent on Martial, however, so a move is not simple.
The transfer window in some European leagues remain open until the end of the month, so Martial will hope to be rescued by the likes of Bayern Munich or Borussia Dortmund, but if Martial stays, the problem has the potential to bother United all season.

Problem 3: Right wing

All indications suggest this problem will be left unsolved.
Mourinho wanted a right-winger to offer balance to his side and provide another threat in attack.
Ivan Perisic, Willian, Hirving Lozano, Ante Rebic and Christian Pulisic were all mooted as potential arrivals, but none have materialised into anything significant.
Willian was perhaps the most likely to join United, but he looks set to remain at Chelsea.
Signing Willian would have weakened Maurizio Sarri's side, who looked unconvincing against Manchester City in the Community Shield. Now, they have a player who wants to resurrect his Stamford Bridge career after being unhappy with Antonio Conte's methods.
Tahith Chong impressed on the right wing in pre-season, but looking to the youngster to solve United's lack of crossing options is unfair.
Mourinho seems set to go with his existing options, unless something big changes late in the window.

Problem 4: What next for the youngsters?

On tour, Mourinho took a number of young players to America to cover for their missing World Cup stars. He gave Scott McTominay a chance last season but there is no obvious candidate ready to step up this time.
Most of the youngsters who performed on tour will return to their youth teams and some are expected to head out on loan.
Axel Tuanzebe has rejoined Aston Villa , while Timothy Fosu-Mensah has been linked with a move to Hertha Berlin.
Others would be wise to seek loan moves themselves and gain first team experience away from Old
 
Agent claims Mourinho wants to sign Kante from Chelsea
Date published: Wednesday 8th August 2018 11:51

Jose Mourinho wants to sign N’Golo Kante from Chelsea, according to the agent of Axel Witsel.
Mourinho has targeted a centre-half throughout the entire summer, with Manchester United having signed central midfielder Fred, right-back Diogo Dalot and back-up keeper Lee Grant.
But Witsel’s agent says his client was wanted by the Premier League club.
He advised the Belgian against a move to United however, as Kante was his first choice.
Witsel completed a move to Borussia Dortmund earlier this month instead.
“There were other candidates. Manchester United wanted him, Napoli too,” Paul Stefani told Het Laatste Nieuws of Witsel.
“But I have told Axel: ‘At Dortmund you are the number one, at Manchester you are one of many… and at Napoli too’.
“I know from a very good source that Mourinho said he wanted Witsel, but not in the first place. N’Golo Kante topped his list.
“Eventually Axel said: ‘Do me a favour and finish it as quickly as possible, because I really want to go to Dortmund’.”
Agent claims Mourinho wants to sign Kante from Chelsea - Football365
 
Muda wa ma agent Kutengeneza pesa na majina mana chelsea wanataka kumpa mkataba mpya kante naona anapandia dili liende fasta.
 
Wakala kaangukia pua usicheze na kichwa cha ed woordward soon martial atasaini tu mkataba de gea alikuwa hiv hivi kishatulizwa.
 
Kama that's case sidhani kama
Van Djik
Alves
Fred
Sanchez
Jorginho

Wangekataa kwenda kucheza Man City ya Pep Guardiola na sidhani kama United ingeweza kuwasajili Pogba,Lukaku,Mikhi,Fred wakati Mourinho ndio kocha
Belo unachanganya mambo,nimesema kuna sababu nyingi kwanini mchezaji anakataa timu A halafu anaenda kusajiliwa na timu B,case ya van djik sijui ila alves alifuata hela psg maana yuko 34+,fred uhakika wa kucheza kila wiki pale etihad ulikuwa mdogo ukizingatia anahitaji kuitwa timu ya taifa,same as joginho (playing time),sanchez alishakubaliwa kwenda city sema mshahara ulikuwa mdogo dhidi ya huu wa mou kwake. I stand to be corrected again.
 
Kumbe unaelewa sasa nakushangaa unalalamika big players hawataki kuja United sababu ya playing style ya Mourinho ?

How many big players ambao United wali-bid klabu yake ikakubali then mchezaji akakataa?
 
Kumbe unaelewa sasa nakushangaa unalalamika big players hawataki kuja United sababu ya playing style ya Mourinho ?

How many big players ambao United wali-bid klabu yake ikakubali then mchezaji akakataa?
As far as I remember 3 this season alone.
 

Wakati anakuja Chelsea EPL ilikuwa imetawaliwa na Arsena na Man U, alipaki basi akachukua, lakini msimu wa 3 akachemka akaenda Inter akaenda Madrid, akarudi, aina ya mpira wa Jose anaowafundisha wachezaji ushapitwa na wakati,
Umesema Madrid walikuwa wanatolewa hatua za awali yeye akapeleka nusufainali 2 lakini kwa wachezaji ambao alikuwa nao Madrid angeweza kuchukua Laliga hata 2 au chmpons league1 alichukua Laliga 1, nikrudi katika EPL Man u mjiandae kuangalia mpira usiokuwa na msisimko na kama hamna straika makini ambaye anahitaji nafasi 2 moja liwe goli imekula kwenu
 
Style ya uchezaji wa JM inafanya tuonekane kama leicester kwenye dirisha la usajili,akiendelea huyu bwana itafika mahala tukigombea mchezaji na swansea mchezaji ataichagua swansea.
chuki haziwezi kumuweka mtu mahali salama chiki

Mkhitaryan ameigomea Arsenal akaja United
Pogba alizitosa Madrid na Barca akaja United
Lukaku kaitosa Chelsea kaja United
Sanchez kaitosa Mancity kaja United
Fred kaitosa City kaja United

how dare you to say this shit????

Man United anaanzia wapi kupambana Swansea kugombea mchezaji?? timu record yao ya usajiri pauni 20m sawa na bei ya kumnunulia Darmian au Tuanzebe hebu tuwe serious sometimes
 
ukiondoa City msimu uliyopita Arsenal Ndiyo ilikuwa ikicheza mpira wa kuvutia sana unakumbuka ilishika nafasi ya ngapi??

mpira magoli, Liverpool anapress sana lakini huu ni mwaka wa 28 na mwaka wa 3 na nusu wa Klopp bila EPL....JM na mpira wake huo wa hovyo ana EPL 3 sasa
 
Sioni km United ina tatizo la beki na haipaswi kuuza beki hata moja miongoni mwa waliopo. United inahiataji winger mmoja mwenye nguvu na kasi. Perisic offers the best option.

Martial naona wamwache atafute timu atakayoweza pata nafasi ya kucheza mechi nyingi
 
Jamanii mie nachoka kusikia mi-comments zinazozungumzia Arsenal, Chelsea au City alicheza mchezo gani mwaka/msimu uliopita!!!!!! Ningefurahi kuona mnazungumzia Manchester United coz huu ndio uzi sahihi. Habari za historia ya club nyingine hapa sio mahalapake
 
Mourinho anacheza mpira mbovu..licha ya kutokubeba kombe kwa liverpool,huwezi kuilinganisha liverpool na man u yetu interms of mpira wa kuvutia,team intergration,manager passion,na kuwafanya average player wacheze kwenye standard za juu

Lindelof alichoma gemu mbili,mourinho akakata naye tamaa..ila yule beki mbili wa liver,pamoja na kumpa rashford magoli mawili kwenye ile gemu ya OT,klopp bado alimpa nafasi kwenye fainali ya Uefa..the way jose mourinho anavyowatreat wachezaji mimi ndo simwelewi kabisa..hope msimu huu utakuwa wa mwisho kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…