Huyu jamaa huwa simkubali hata kidogo ni bora kashtuka bek ni tobby tu au hata harry maguireExclusive: @JB17Official Jerome Boateng called José Mourinho to tell him personally that he is grateful for the interest, but he won’t come to Manchester. No Transfer to manutd @SPORTBILD @BILD_Sport
Wakati kichwa box huyo watu kibao wamempiga block hata sisomag post zake najua maumivu anayoyapata na bado.
Naona unajibagua tu. Msimu huu mnaishia nafasi ya 06 na Arsenal huko. Na UCL mtoano kwa upendeleo.Sasa wewe unaumia nini wakati unajua mourinho anasimamia mazoezi? Bila msimamia mazoezi hamna chelsea lasivyo mngekuwa kama aston villa tu alishasema atokee wa kufuta historia yake ndipo mpanue mdomo mmesajili kocha katupa europa na nafasi ya 6 mkacheze na wakina astana msimamia mazoez yule uefa champions
Kwani kuna tatizo? Chelsea bingwa mwaka huuNaona unajibagua tu. Msimu huu mnaishia nafasi ya 06 na Arsenal huko. Na UCL mtoano kwa upendeleo.
Hakuna tatizo mkuu. Ndicho mnachotegemea kutoka kwa Mou, mshajiandaa kisaikolojiaKwani kuna tatizo? Chelsea bingwa mwaka huu
Sasa chelsea inawachezaji gani na wewe mbona kuna matakataka kule labda kante tu mengine yote pumba tuHakuna tatizo mkuu. Ndicho mnachotegemea kutoka kwa Mou, mshajiandaa kisaikolojia
Teh.. Willian, Hazard, Jorginho, Azpilicueta, Christensen, Odoi, Moses, Alonso, Pedro, Fab, Rudiger, Batshuayi na Barkley. Hao ni kwa uchache huwezi kufananisha na vibishoo vyako vipenda maonesho.Sasa chelsea inawachezaji gani na wewe mbona kuna matakataka kule labda kante tu mengine yote pumba tu
Yote matakataka hayo kante ntakuelewa hayo machizi kabisaTeh.. Willian, Hazard, Jorginho, Azpilicueta, Christensen, Odoi, Moses, Alonso, Pedro, Fab, Rudiger, Batshuayi na Barkley. Hao ni kwa uchache huwezi kufananisha na vibishoo vyako vipenda maonesho.
Sijamtaja Kante kwakua umeshamkubali. Na bado naendelea kusajili.
Maguire fa...la tu hana lolote wala sio beki wa kutishia mie sielewagi kwann Waingereza wanapendaga kumpaisha MTU sifa asizostahili. Waangalie timu zingine mabeki sio UingerezaHuyu jamaa huwa simkubali hata kidogo ni bora kashtuka bek ni tobby tu au hata harry maguire
Ok.Maguire fa...la tu hana lolote wala sio beki wa kutishia mie sielewagi kwann Waingereza wanapendaga kumpaisha MTU sifa asizostahili. Waangalie timu zingine mabeki sio Uingereza
Timu inakocha anayesimamia mazoezi huku akipanga kikosi na kukitegemea chenyewe kijiongeze kipate ushindi..lazima tusheze vibaya tu..Mourinho akiwa sacked pale OT,roho yangu itasuuzika kabisa..Ile game ya MCFC vs MUFC, babu Fergie alionesha kuwa yupo very dissapointed, his expression said it all.
Tatizo sio kuchukua mataji, tatizo we are playing like Leeds United. Tunaingia uwanjani kutafuta point 1 tu na sio tatu na wingi wa magoli ndio maana hatuna future.
Ile game ya MCFC vs MUFC, babu Fergie alionesha kuwa yupo very dissapointed, his expression said it all.
Tatizo sio kuchukua mataji, tatizo we are playing like Leeds United. Tunaingia uwanjani kutafuta point 1 tu na sio tatu na wingi wa magoli ndio maana hatuna future.
Kwa klabu kama MUFC ni aibu the way we play. Ile timu ata ikija Tanzania Kagera sugar watacheza kwa kujiamini kuliko MUFC.Timu inakocha anayesimamia mazoezi huku akipanga kikosi na kukitegemea chenyewe kijiongeze kipate ushindi..lazima tusheze vibaya tu..Mourinho akiwa sacked pale OT,roho yangu itasuuzika kabisa..
Kuna bahati michezoni ipo huo ndo ukweli mpira anaocheza liverpool sio mdogo sasa kama huna bahat utaumia tu hata ktk uhalisia wa maisha kama una gundu huwez kufanikiwa.Tunashindashinda kibahati tu,hata kumaliza nafasi ya pili ilikuwa bahati tu.
Wenzetu wanasema tuache Mou anajenga timu.
Barcelona target Paul Pogba has told Manchester United bosses that he wants a £200,000-a-week pay rise if he is to remain at the club, according to reports.