Ni jambaz sana hili jamaa lina wachezaj wake likiamua kuwapigia kampen kuwa ni world class linafanya, linapenda udalali wa kupiga hela ndefu, hiv hapo kashaona pogba kwenda barca yy atavuta mkwanja mrefu tu,

Kipindi Hichi Cha World Cup kabla Ya Liverpool Kumnunua Alisson Huyu Mshkaji Alipojua Liverpool Wanatafuta GK basi fasta fasta Aliingia Mzigoni Na Kuanza Kumuigiza Yule Dogo Gianluigi Donnarumma Wa AC Millan Waamini Kuwa Ni World Class ili amuuze Kwa Mkwanja Mrefu kiasi Ya Kwamba Timu Nyingi Zilikwisha Amini. Jamaa Akaipanga bei Yake Kuwa Ni £50m.
Dah! Raiola Akiamua Kumpigia Debe Mchezaji lazima Akupige tu Kiaina.
Nasoma comments mnavyofarangana hapa ni kicheko tu. Japo kwangu kwangu mambo si mazuri kivile ila huku nako ni janga lingine. Mnachechemea lakini mnataka muonekane ni wazima.