Mi naona Ceo wa unuted hayupo makini na mambo ya uwanjani yeye anaangalia pesa akiumia lukaku timu haina mbadala halafu ni timu kubwa hatari sana akikosekana pogba huna mtu wa kujaza nafasi mourinhi anataka watu sio masihara ukiangalia united ya 2008 timu yetu Kwa sasa inawachezaji ambao sio wapambanajiGlory hunters hao, angalia timu yetu old trafford kumetuliaaa, ila away mashabiki kibao na wanashangilia mwanzo mwisho, ifungwe ama ishinde.
Umaarufu wa UTD umeiponza kupata mashabiki ambao timu ikifanya vibaya haiwahusu ila ikifanya vizuri hakuna mashabiki kama wao.
hili jambo lilizungumzwa msimu uliopita kwenye forums nyingi za mashabiki wa ukweli, plastic fans wanaijaza old Trafford na kusababisha uwanja uwe kimya, na Mou pia alisema measure zinatakiwa zichukuliwe ili ku improve OLD Trafford atmosphere.
Timu imesikia na sasa hivi wame introduce ticket za Bei rahisi ambazo zitauzwa kwa vijana tu prefferably local boys ili kupunguza idadi ya watalii na kuongeza amsha amsha.
So msijali tunaoipenda United tutaendelea kuishabikia na kum support kocha wetu, timu ikitwaa makombe na nyie tunawakaribisha muje kushangilia pia.
Glory hunters hao, angalia timu yetu old trafford kumetuliaaa, ila away mashabiki kibao na wanashangilia mwanzo mwisho, ifungwe ama ishinde.
Umaarufu wa UTD umeiponza kupata mashabiki ambao timu ikifanya vibaya haiwahusu ila ikifanya vizuri hakuna mashabiki kama wao.
hili jambo lilizungumzwa msimu uliopita kwenye forums nyingi za mashabiki wa ukweli, plastic fans wanaijaza old Trafford na kusababisha uwanja uwe kimya, na Mou pia alisema measure zinatakiwa zichukuliwe ili ku improve OLD Trafford atmosphere.
Timu imesikia na sasa hivi wame introduce ticket za Bei rahisi ambazo zitauzwa kwa vijana tu prefferably local boys ili kupunguza idadi ya watalii na kuongeza amsha amsha.
So msijali tunaoipenda United tutaendelea kuishabikia na kum support kocha wetu, timu ikitwaa makombe na nyie tunawakaribisha muje kushangilia pia.
Sasa kama style ya bus ndio style ya mou unataka pre season akacheze tiktak ya nini? Pre season ni kujiandaa na msimu mpya sasa ya nini ucheze style tofauti na utakayoicheza kwenye ligi? Sisi ni watu wa bus lazima tujifunze kulipark vizuri na huu ndio mda wa kujifunza na kujifua rasmi. Bus bus bus tu daadek. Sisi tunalipaki kazi yao kulisukuma, watajua wenyewe.Mkuu mnabishana sana ila mimi nilivyowaelewa wakuu humu wanaompinga Mou,
sio kama hawajui Ed ni tatizo noooo wanajua jmaa nae anazingua katika suala fulani.... But wanalalamika uchezaji wa Mou mtindo wa falsafa ya kupack bus hadi pre- season.... pia wanalalamika lawama za wazi anazotoa Mou kuhusu team na kulaumu wachezaji.....
Angalia press conference baada ya liver angekuwa mtu wa kariba ya Sir Alex au hata Duma wa Simba asingesema et "sijajifunza kitu chochote coz nusu ya wachezaji wangu wa kikosi ya kwanza hawapo, Mara Sanchez hawez kuwa na furaha kwa wachezaji anaocheza nao".....
zunguka duniani kote hadi ndondo huwezi kuta kocha anaekatisha tamaa wachezaji kama Mou.....wew kama mchezaji na unasikia kuwa kocha anasema mmecheza shit, lawama juu eti bailly hawezi kuwa kiongozi.
Kumbuka kipindi cha sir Alex yeye alikuwa anasema huwezi win games pasipo kuwa na leaders katika team, akasema wachezaji wote lazima wawe leaders kuongea na wenzao ili wapate best results, kwa Mou hii haipo kabisa.
Tukubali Mou ni binadamu na anashindwa tusiongelee mafanikio ya inter, sjui Chelsea 2005 huko, tuangalie Mou anafanya min now, utagundua anakosa option, hii issue aliisema Gary lineker siku chache kabla ya Van gal kufukuzwa alisema atafukuzwa coz hana option pia anaonekana yupo confused hajui afanye nin, at last Van gal akafikuzwa.....hii inatokea kwa Mou why asikubali kushindwa yeye awe anatafuta viteteo kuwalaumu wachezaji mmoja mmoja.....
Wakuu wachezaji weng wamezidiwa age ya kuanzia 10 na makocha wao so tunasema coaches are like Fathers......baba bora anaficha mapungufu ya wachezaji wake Mara kadhaa nimeona Simeone wa Atletico katika press anasema yeye ndo wakulaumiwa wachezaji wametoa kila walichonacho.......umeona Lin Mou kafanya hivi????
Kama kawaida mambo ya kupaki basi hata mechi za kirafiki.
Morinyo fala sanaView attachment 828147
Kama kawaida mambo ya kupaki basi hata mechi za kirafiki.
Morinyo fala sanaView attachment 828147
Ndo upuuzi ambao unanishangaza hata mimi..ukimkosoa mourinho unaitwa plastic fan!!..WTFMkuu hapo Hauposahihi Kabisa! Umekosea Kuwita Wale Muliotofautiana Mawazo Kuwa Ni Plastic Fans...
Unawezekana Hao Wameanza Kuifia Man United tokea wewe unasoma Kindergarten.
Scholes na Giggs hawamrate Morinho Kuwa Ni Kocha Sahihi Wa Man United, So itakuwa Wonder of the Century iwapo Mtu atawita Plastic Legends.
Tukubali Kuwa Kutofautiana Mawazo Kupo na Wala Sio Kutokupenda Timu.
Hao jamaa wana Timu A XI ni HATARIIII , NA Timu B XI ni HATARIIIIII SANA AISEECity wameanza kuwasha moto
Ila SIJAONA UKALI WAKE HUYO JAMAAsitamsahau huyo maguire alichomoa bao dakika ya 90+ msimu uliopita na mechi kuisha kwa sare daaaaaah
Acha masiharamjadala umeishia hapa....Mou is a big coach
Acha MASIKHARA BASIHuyu pogba mi naona aondoke tuu,
Bayern 1 - 0 Man utdMatokeo vipi?
Nadhani ungejadili sana kuhusu ManUtdmorata vs lukaku
hii battle imeishia wapi???????????
Garry Neville ni mfano Tosha kwamba hawapo sahihi, hao ni wachumia tumbo wanalipwa ili wakosoe ndio kazi zao kama pundit.Mkuu hapo Hauposahihi Kabisa! Umekosea Kuwita Wale Muliotofautiana Mawazo Kuwa Ni Plastic Fans...
Unawezekana Hao Wameanza Kuifia Man United tokea wewe unasoma Kindergarten.
Scholes na Giggs hawamrate Morinho Kuwa Ni Kocha Sahihi Wa Man United, So itakuwa Wonder of the Century iwapo Mtu atawita Plastic Legends.
Tukubali Kuwa Kutofautiana Mawazo Kupo na Wala Sio Kutokupenda Timu.
Mambo haya yapo Madrid, Chelsea etc waende huko wanazomea na kubadili makocha kila baada ya muda mfupi.
Agreed mkuu, sijawahi ona man u kali kama ya 2008, ilikuwa nzuri kushinda hata ya 1999. Kila namba sub yake ni nzuri pia.Mi naona Ceo wa unuted hayupo makini na mambo ya uwanjani yeye anaangalia pesa akiumia lukaku timu haina mbadala halafu ni timu kubwa hatari sana akikosekana pogba huna mtu wa kujaza nafasi mourinhi anataka watu sio masihara ukiangalia united ya 2008 timu yetu Kwa sasa inawachezaji ambao sio wapambanaji
Hii ya 2008 kila sehemu kuna watu zaidi ya wawili
View attachment 828124View attachment 828126View attachment 828128View attachment 828129
YaniGarry Neville ni mfano Tosha kwamba hawapo sahihi, hao ni wachumia tumbo wanalipwa ili wakosoe ndio kazi zao kama pundit.
Huyo G Neville alikuwa akimponda sana Van Gaal japo alimaliza top 4 na akawa anajisifia yeye ndie alifanya Van Gaal asitumie 4-1-4-1 sababu alitoa weakness ya hio formation, akapewa Timu valencia alifanya nini? Walifungwa mpaka goli 7 ilikuwa ni aibu.
Msimu wa mwisho LVG tulifungana point na man city 66, tulihitaji point 1 tu kwenda UEFA, miezi 3 ile wanamzomea kocha na wachezaji pale OT wangeishangilia timu nina uhakika tungeipata hio point 1.
Kocha anapokuja kwenye Timu anapewa malengo ya club, asipoyafikia hayo malengo anafukuzwa, sio kazi ya mshabiki kumzuia kocha asifikie malengo bali ya kazi ya mshabiki ni kuwa mchezaji wa 12 kuhakikisha Timu inashinda, ni aibu kwa timu kongwe kama man U kukosa Amsha Amsha za mashabiki.
Wewe mwenyewe unafahamu, miaka 10 iliopita liver wana kombe 1 tu, lakini Atmosphere ya Anfield unaijua ilivyo na sijaona mtu akimzomea klop na kama wapo wachache sana.
kuna Timu zenye historia ndogo kama Man city, hawa wakifanya mambo kama haya kidogo huwezi ukawalaumu maana hawana historia.
Na Haya sio maneno yangu tu mkuu, ni maneno ya mashabiki wengi wanaoitakia mema United, makundi mbali mbali ya washabiki wanataka kutengwe eneo kwa ajili ya vocal fans tu hao wanaokwenda kutalii na kuzomea wakae kwao pekee.
Manchester United fans' group sends message to club over Old Trafford atmosphere
Na mechi ya Brighton nusu fainali ya FA cup walifanya trial kuna kundi la Man U la MUFC TheredArmy walitengeneza kama initiatives fulani kuwaweka vocal fans pamoja na kuchangamsha uwanja, na kweli wakafanikiwa angalia hii video
Siku zote positive criticism zinakaribishwa ila mshabiki ambaye siku zote yupo negative timu yake ikifanya vibaya, na mda wote anaponda tu huu sio utamaduni wetu Man U. Mambo haya yapo Madrid, Chelsea etc waende huko wanazomea na kubadili makocha kila baada ya muda mfupi.
Lini liverpool wanazomea wachezaji wao? Ni lini kabla ya ED woodward kuja Man U ilikuwa inazomea wachezaji wake? Barcelona ushaona wanamzomea messi au wachezaji wao?Yaani hapa mwishoni tu ndo umekosea.
Hao mashabiki wa kuzomea kila siku wapo kila timu kama ambavyo mada yako imewaelezea wa kwenu.