Hii Kauli Yako Ya Kuwa Kocha Ndiye Anayeona Yupi atamfaa na Yupi Hamfai sikubaliani Nayo Hata Kidogo Kwani Tumeona Mifano Ya Wazi Makocha Walivyoingia Chaka Katika Kuchagua Wachezaji Kwamfano.
1) Kocha Wa Serbia Aliyetimuliwa Wakati Wa Kuelekea Russia; Huyu Kocha Alijaribu Kutuaminisha Kuwa Milinkovic Savic Kuwa Hana Kiwango Cha Kuchezea timu ya Taifa Jambo ambalo Waserbia Wakaprotest Mpaka Akatimuliwa na Hatimae Kocha Mpya Akamwita. Na Shuhuli Yake Kwenye Wodi Kap sote tumeiyota alivyokuwa Akiicontrol Midfield.
2) Joachim Low: Huyu Kocha Alitaka Kuwaaminisha Watu Kuwa Draxler na Brandt Ni Bora na Wanaweza Kuoffer Vitu Vingi Kuliko Leroy Sane... Ukweli Usiofichika Leroy Sane Si Mchezaji Wa Kuachwa Katika Kikosi cha Germany! Hapa Kocha Hakujua nani anamfaa na Nani Hamfai.
3) Sampaoli: Kitendo Cha Kutomuanzisha Aguero Katika Mechi Zidi Ya France Ni Kosa ambalo atalijutia! Hapa Kocha Hakujua nani Atamfaa na nani Hamfai. Au unataka na wewe Kutuaminisha Kuwa Kocha Alikuwa Sahihi Kutokumuanzisha Aguero na Dyabala?
Sometimes Ukubali Kuwa Makocha Wanashindwa Kuchagua Wachezaji Sahihi.