huyu bwana mdogo diogo dalot nimeangalia video zake kiukweli ana tabia za dani alves wa sevilla
Tatizo ni kwamba utashangaa anafanywa kama lindelof..yaani valencia atamweka benchi..ila mi naona valencia ni muda wake sasa wa kukaa benchi kupisha damu mpya zenye ubunifu kwenye nafasi ya fullback right...kama haitokuwa hivi basi nitashangaa sanahuyu bwana mdogo diogo dalot nimeangalia video zake kiukweli ana tabia za dani alves wa sevilla
si mlinzi wa kubahatisha kama walivyo baadhi ya walinzi wengine wa ligi kuu.
anajua dribble
cross uhakika
speed kubwa
anatumia miguu yote.
Tatizo ni kwamba utashangaa anafanywa kama lindelof..yaani valencia atamweka benchi..ila mi naona valencia ni muda wake sasa wa kukaa benchi kupisha damu mpya zenye ubunifu kwenye nafasi ya fullback right...kama haitokuwa hivi basi nitashangaa sana
Angalia dogo yule wa liver anavyokichafua beki mbili..ishu ni kuaminiwa na kupewa nafasi
Valencia simkubali kabisa kwenye suala la kupiga cross. Kuna haja gani ya kupanda halafu cross karibia zote majanga. Anyway, ngoja tuone timu itakuajeTatizo ni kwamba utashangaa anafanywa kama lindelof..yaani valencia atamweka benchi..ila mi naona valencia ni muda wake sasa wa kukaa benchi kupisha damu mpya zenye ubunifu kwenye nafasi ya fullback right...kama haitokuwa hivi basi nitashangaa sana
Angalia dogo yule wa liver anavyokichafua beki mbili..ishu ni kuaminiwa na kupewa nafasi
Naweza kusema valencia ndo mchezaji mwenye productivity ndogo kuliko wote kwenye first 11 ya united..sijaona sababu ya yeye kuanza..even his expirience doesnt matter kwenye soka la sasaMkuu Kila Kocha Ana System Yake!
Huyu Hakusajiliwa na Mourinho Kama First XI squad Bali amesajiliwa Kama Backup Kwa Valencia.
Kutokana na System ya Mourinho Kwasasa Hakuna Wa Kumueka Bench Valencia.
Wakati Ni Mdogo Kiumri basis ajitahidi Kukomaa na Mazoezi tu asubiri Valencia umri umtupe mkono ili azuie nafasi.
utamng'oa kwa sh ngapi ilhali madrid wenyewe hawaoni mbadala wake?Hivi kwa nini hatumuapproach marcelo
Hivi kwa nini hatumuapproach marcelo
umeandika huku unaelewa unachokiandika???Sina Uhakika Wa Buy out Clause ya Marcelo Ni £bil ngapi! Lakini Kwa Ninavyoifahamu Madrid Katika First XI Yake Mwenye Buy Out Clause ndogo Yao basi Ni zaidi ya £700m+. Sasa Kuhusu Huyu Marcelo usishangae Kuwa Thamani Ya Timu nzima ya Man Unite + Man City + Liverpool + Chelsea ndiyo Buy Out Clause Yake.
umeandika huku unaelewa unachokiandika???
kha!!! yaani kabsa ww King Ngwaba na upeo wako wote ndo umeandika hivyo....mchezaji ana 30+ age halafu releasing clause yake iwe hiyo uliyosema ww!!!Najua Kila Mtu Hapa #JF hujifanya Hajasoma [HASHTAG]#HKL[/HASHTAG] Kwahiyo Kiswahili Kimekuwa Kigumu Kukielewa! Lakini Jaribu Hivyohivyo Kukosoa Nilichoandika Sio Kucriticize tu bila Ya Kuwa Specific.
dah aiseeeeeeeeeeeeehSina Uhakika Wa Buy out Clause ya Marcelo Ni £bil ngapi! Lakini Kwa Ninavyoifahamu Madrid Katika First XI Yake Mwenye Buy Out Clause ndogo Yao basi Ni zaidi ya £700m+. Sasa Kuhusu Huyu Marcelo usishangae Kuwa Thamani Ya Timu nzima ya Man Unite + Man City + Liverpool + Chelsea ndiyo Buy Out Clause Yake.
kha!!! yaani kabsa ww King Ngwaba na upeo wako wote ndo umeandika hivyo....mchezaji ana 30+ age halafu releasing clause yake iwe hiyo uliyosema ww!!!
Hizo ni bei za kuuzia sura tu magazetini....peleka sahivi £300m kama utanyimwa mchezaji yeyote pale...kiufupi hakuna mchezaji anayezidi £500m hata kama ni Messi..Sikuandika Kwa Kibahatisha! Nyota Wa Real wote Buy out Clause Zao Ni Zaidi ya €1billion regardless umri Wao kama Ni above au below 30years.