Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Most expensive - Pogba.
Highest salary- Sanchez
Richest club- Man U
2017/18 Trophies - 0
Player with highest sweat per match - Lukaku = 25 litres per game.
Diver of the season - Ashley Young
Tallest players Matic and Fallieni.
Shortest player - Mata
 
Wenye uzi wenu mbona mmeutelekeza. Tunawakaribisha Kiev tarehe 26 May mje muone mfumo mpya.
 
Wamuongeze Mou mkataba tu tupo tayari maana mwakani mdo tutakufa na presha kwa kweli sio kwa timu hii. Na Martial akiuzwa yule hatarudi Insta nasema.
 
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amefuta akaunti yake ya Instagram kutokana na matusi ambayo aliyoyapata baada ya mashetani hao wekundu kushindwa kwenye fainali ya kuwania kombe la FA dhidi ya Chelsea. (Sun)

Manchester United imekubaliana katika hatua za kwanza na kiungo wa kati kutoka Brazil Talisca, 24 ambaye amekuwa kwenye mkopo na Besiktas kutoka Benfica. (Star)

Klabu ya Utaliano ya AC Milan imempatia kiungo wa kati wa Manchester United Marouane Fellaini,30, mkataba wa miaka mitatu huku kiungo huyo raia wa Ubelgiji kuwa huru kwa uhamisho wa bure katika majira ya joto. (Times - subscription required)
 
Bila shaka huyo Talisca atakuwa mkubwa kiumbo,Mou ni tatizo namba moja pale united akifuatiwa na pogba.
 
Makocha wanaofanya risk hizo huwa inawacost sana mfano messi kukosa mechi ya levante umuhimu wake ulionekana mno
Una taarifa kwamba Radja nainggolan ameachwa katika kikosi cha Belgium halafu Fellain ameitwa?

Sijui ni nini makocha huona sisi hatuoni.
 
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amefuta akaunti yake ya Instagram kutokana na matusi ambayo aliyoyapata baada ya mashetani hao wekundu kushindwa kwenye fainali ya kuwania kombe la FA dhidi ya Chelsea. (Sun)

Manchester United imekubaliana katika hatua za kwanza na kiungo wa kati kutoka Brazil Talisca, 24 ambaye amekuwa kwenye mkopo na Besiktas kutoka Benfica. (Star)

Klabu ya Utaliano ya AC Milan imempatia kiungo wa kati wa Manchester United Marouane Fellaini,30, mkataba wa miaka mitatu huku kiungo huyo raia wa Ubelgiji kuwa huru kwa uhamisho wa bure katika majira ya joto. (Times - subscription required)
nilibahatika kuiangalia game ya marseille na besiktas robo fainal europa nje ndani huyo talisca hafai hata kulumangia anaupiga mwingi mno
 
morinyo ole wako umnyime namba huyu dogo
skysports-andreas-pereira-valencia-la-liga-football_4162191.jpg
 
Back
Top Bottom