Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu Ya Manchester Imelamilika Kila Kitu.... Tatizo Mbinu Za Mourinho... Yaani Leo Eti Sterling Kawa Bora Kuliko Martial... Au Sane Kawa Bora Kuliko Rushford.... Eti De Bruyne Ni Bora Kuliko Pogba.... Watu Wakali Mule City Ni Aguero Na Walker.... Ambao Wakija Manchester United Wana Uhakika Wa First Eleven... Lakini De Bruyne Anaanzia Benchi Mbele Ya Pogba
 
Pogba amsugulishe benchi DeBruyne ?????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Naomba nikuulize ni kwanini Matic kacheza mechi zote ila haijawa hivyo kwa Pogba
 
Nasikia Yaya Toure anatamani kutua MUFC.

Anadai anatamani sana kucheza na Pogba amfunze baadhi ya vitu.

Mou anavyopenda watu wenye maumbo makubwa tusishangae akamchukua.
 
Nasikia Yaya Toure anatamani kutua MUFC.

Anadai anatamani sana kucheza na Pogba amfunze baadhi ya vitu.

Mou anavyopenda watu wenye maumbo makubwa tusishangae akamchukua.
Ni mzuri kuliko Fellain na herrera, nitamchukua kama back up
 
Sarri is 100% coming to Chelsea.
The problem is, he's 60 years old and smokes more than Wizkalifa
Wouldn't be surprised if he gets a heart attack watching Bakayoko play
Hituhusu hii mkuu
 
IMG_8246.jpg
IMG_8247.jpg
 
Nani - all 41 goals for Manchester United
sijui nirudishe umri wake nyuma aje kutusaidia kipindi hiki
 
Man U hongereni kwa kushinda nafasi ya pili msimu huu.

Mtaumia sana jumamosi pale Liverpool atakaposhindilia msumari wa moto kwenye mioyo yenu kwa kubeba Champions League.

Hapo ndio mtapack mabegi yenu kwa wingi wenu wa mamilioni muungane na mkuu wenu wa msafara Garry Neville kuenda katika nchi isiyojulikana kujificha humo kwa miaka kadhaa kutokana na aibu mtakayoipata
 
Manchester United tayari wako tayari kumnunua Gareth Bale wa Real Madrid kwa milioni £, lakini ana hofu juu ya mtindo wa mchezo wa Jose. (Sun)

Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo, mwenye umri wa miaka 33, anajiandaa kurejea Manchester United. (Diario Gol via Express)

Manchester United wamewasilisha ombi la thamani ya Euro milioni £96m la kumnunua mchezaji wa timu ya Lazio anayecheza safu ya kati Mserbia Sergej Milinkovic-Savic, mwenye umri wa miaka 23. (Metro)

Mchezaji wa kiungo cha kati wa Manchester United Paul Pogba amedai kurejea Juventus. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 raia wa Ufaransa alikuwa miaka minne na championi ya Serie A baada ya kuhamia Italia kutoka Old Trafford mwaka 2012. (Tuttosport via Express)
 
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho ana hofu juu ya ushindani wa malipo ya kifedha usajili wa mchezaji wa Wales Gareth Bale kutokana na bei yake, huku Real Madrid ikitarajiwa kumuuza mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28 kwa bei ya pauni milioni 200 (Express)

Manchester United wanamfuatilia kwa karibu mchezaji wa safu ya kati ya Aston Villa Jack Grealish, mwenye umri wa miaka 22, huku wakiangalia namna ya kujijenga siku zijazo. (Sun)

Samuel Umtiti anayesakwa na Manchester United amefichua taarifa kuhusu utashi wake wa kubakia Barcelona. Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 24 anayecheza safu ya kati - nyuma anasema kuwa hataondoka klabu hiyo ya Uhispania labda afukuzwe. (Sun)
 
Back
Top Bottom