Tungekuwa na kocha anaeitakia mema timu yetu,wangeingia sokoni kutafuta fullbacks wenye uwezo kidogo..hivi mnaonaga kyle walker anavopandaga juu na kwa ubora na kufanya timu inashambulia vizuri??
Huyu valencia kashachoka for shure,young is not that good kwa upande wangu,shaw angepata maelekezo mazuri naamini angefit pale vizuri tu..