Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu ya arsenal imejitutumua leo na kufungwa kwa taabu na Manchester United katika uwanja wa old Trafford na hii imekuwa njia nzuri ya kumuaga mkufunzi wa timu hiyo anaeondoka mwisho wa msimu. Na huo ndio mwisho wa taarifa za michezo. Khabari hii kama ingesomwa na Ummy lkheri na ile sauti yake ingependeza sana.
 
Namba 9 hutakiwi kugusa mpira mara mbili. Kazi yake ni kupiga tu golini.
Unataka namba 9 anayemiki mpira ili iweje?
Namba 9(target man) anatakiwa awe na uwezo wa ku hold mpira. Anapopewa pasi anaweza kuwa peke yake hivyo ana hold hadi attacking players wenzie waje anawapa yeye anafunguka tena.
Lukaku ni very good target man coz he is very powerful, shida yake ni moja tu POOR FIRST TOUCH. Akipewa mipira anapoteza sana kwa kukosa ball control.
Mfano wa ku hold mpira refer goli la kwanza alilofunga dhidi ya Liverpool OT.
 
Niliwahi kushambuliwa humu na mapovu.

Tusubiri msimu uishe labda Mou aondoke lakini dogo akibaki basi bench litamhusu sana tu.
Martial n mzur lkn anatakiwa kuingia uwanjan mkiwa mnaongoz hata tatu bila lkn kumuingiza huyu jamaa ukatafute ushindi ni kazi bure mbwembwe nyingi mnoo
 
Martial n mzur lkn anatakiwa kuingia uwanjan mkiwa mnaongoz hata tatu bila lkn kumuingiza huyu jamaa ukatafute ushindi ni kazi bure mbwembwe nyingi mnoo
Kweli kabisa. Mkiwa mnatafuta ushindi hafai. Nafikiri pia uwezo alioonyesha mwanzoni mwa msimu ulimpa kiburi na kujiona kafika kileleni.

Mwanzoni nilikua namkubali sana hasa zile subtition(nsajigwa) zao na Rashford.
 
Kwaheri Wenger, katika miaka yako 22 kama mwalimu wa Arsenal naamini uwanja mgumu kupata matokeo katika EPL ni Old Trafford.

Ahsante kwa kumbukumbu, Daima utakumbukwa kama mmoja wa makocha bora kuwahi kutokea EPL.
Kumbuka aliwahi kuchukulia Ubingwa hapo hapo OT
 
Back
Top Bottom