Yeah Sure, tuna tatizo katika beki line yote kuanzia namba 2 hadi 5, beki ambao tuna uhakika nao angalau wakiwa fiti ni Marcus Rojo na Baily, kuna haja ya kuongeza fullback mmoja kwa ajili ya kuwareplace mmoja wao kati ya Baily na Rojo wanapokosekana, Jones majeruhi yanamfanya kuwa beki wa kawaida ingawa ni beki wa uhakika anapokuwa fiti tatizo hawezi kucheza match 5 au 10 mfululizo, Valencia anahitaji sasa mbadala umri umeshaanza kumtupa mkono, Smalling naye.Tatizo tulilonalo kwa sasa ni beki na 2 na 3 tupate na kiungo mmoja mkabaj upande wa ushambulizi hamna shida lingard namuona kabadilika mno anazidi kukomaa kwa sasa rashford utoto bado ila atabadilika tu sanchez tayar kaanza kuzoea mfumo siona shida ktk ushambuliz ni viungo wetu tu kukosa viwango maalum leo wapo vizur kesho wanapoteza mipira hovyo lazima kupata kiungo mmoja wa maana wa kusaidiana na pogba
Mkuu tafuteni makocha wanaoeleweka, Ancellot au yule Enrique aliyekuwa Barca, uzoefu muhimu sana. Huyo Wenger hakuwahi kuwa na CV ya maana, hata alipokuja Arsenal huko alikotoka alikuwa kaishusha timu daraja.Choice yangu Mkuu ni Thiery au Viera lakini wamatumbi wale wana ngozi kama za kwetu owners wengi wanawatolea nje, ni ubaguzi tu.
Huyu jamaa bhna[emoji23]
Ha haaa ha aaa wale [HASHTAG]#mouout[/HASHTAG] nawaomba wasake timu zingne kwa kipindi hiki....Ed kashasema hii ni good season ww ni nani unakataa ha ha ha"I had this morning one simple SMS from one of my bosses, Ed Woodward," Mourinho told the BBC. "And he was saying, 'I believe we are going to win but if we don't the season is a good season. The season is a season where everybody was professional and everybody is trying to bring the club in the right direction.'
FA Cup semi-final Wembley is a NEUTRAL venue. In fact Man Utd were home team for the day. Ndio maana score board ilikuwa MUC 2-TOT 1.Pia hata spurs kapigwa kwake pale
Hahahha hatarHa haaa ha aaa wale [HASHTAG]#mouout[/HASHTAG] nawaomba wasake timu zingne kwa kipindi hiki....Ed kashasema hii ni good season ww ni nani unakataa ha ha ha
Nimekumithi eti....unaendeleaje mpenzi?? Karibu tena jukwaani[emoji8]Glory Glory Manchester United tuliteteee tu tena kombe letu la Mbuzi angalau mwaka huu tusitoke tena patupu ...... haters kama nawaona hahahaha!!!
iyo sura utazani ana cum haaa haHuyu jones hatarView attachment 753364
Sure ndugu kwenye consistency ya mid field hapo kuna shughuli sana,n way pengine preparation tour baada ya ligi itawajenga vema.Tatizo tulilonalo kwa sasa ni beki na 2 na 3 tupate na kiungo mmoja mkabaj upande wa ushambulizi hamna shida lingard namuona kabadilika mno anazidi kukomaa kwa sasa rashford utoto bado ila atabadilika tu sanchez tayar kaanza kuzoea mfumo siona shida ktk ushambuliz ni viungo wetu tu kukosa viwango maalum leo wapo vizur kesho wanapoteza mipira hovyo lazima kupata kiungo mmoja wa maana wa kusaidiana na pogba
Naona mmeshangilia goli mbili, ndio nyie mnaosema salah anapoteza muda liver eeh! Inabidi aamie man uWale washabiki wa AS Roma kwa leo...tujumuike hapa kuwashangilia...!
Nimekumithi zaidi yaani kila nikichungulia humu sikuoni,Asante dear nimekaribia,niko poa kabisa wangu,sijui wewe Unaendeleaje?Nimekumithi eti....unaendeleaje mpenzi?? Karibu tena jukwaani[emoji8]
Ohhh Good news niliisikia majuzi hii rumours ikanisononesha!!KIUNGO, Paul Pogba, amekanusha kuwa na uhusiano mbaya na kocha wake, Jose Mourinho na kusisitiza kwamba anafurahia majukumu yake anayopewa kwenye kikosi cha Manchester United.
Pogba alisajiliwa na Mourinho kwa ada iliyoweka rekodi ya dunia kwa wakati huo, Pauni 89.3 milioni akitokea Juventus, Agosti 2016 aliporejea Old Trafford kwa mara ya pili.
Lakini Mfaransa huyo amekumbana na nyakati ngumu ikiwamo kuwekwa benchi na kusababisha maneno mengi mitaani kwamba ametibuana na kocha wake na anafikiria kuondoka.
Lakini, Pogba mwenyewe ambaye amekuwa akicheza soka safi siku za karibuni, akiisaidia timu yake kufika fainali ya Kombe la FA amesema: "Sina tatizo na Mourinho. Nadhani pia hata yeye hana tatizo na mimi.
Alinifanya kuwa nahodha kwenye mechi fulani na nilifanya vyema majukumu yangu. Mimi ni mchezaji na wajibu wangu ni kucheza vizuri. Yeye ni kocha na ndiye anayeamua. Mimi ni mchezaji na kazi yangu ni kukubaliana na uamuzi wa kocha, majibu ya hayo yote yanapatikana uwanjani."
Pogba alikataa pia kwamba kuwekwa benchi kulimfanya afikirie kuachana na timu hiyo, akisema: "Hakuna kitu kama hicho. Kocha anafanya uamuzi si kwa ajili ya mchezaji bali kwa ajili ya timu.
“Anamweka nje mchezaji mmoja kwani ana mwingine. Kutokana na hilo, ukiwa mchezaji unapaswa kukubaliana nalo. Mourinho anataka ninyoe? Pengine hiyo ni kesi ya watu wengine siyo mimi. Sifikirii kuhama wala mambo mengine ya aina hiyo."