Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wazee wetu walikuwa na kofi waliliita (KELBU )
Na jirani yako akikupa kibao shavu la kushoto nawe mpige shavu la kulia kisha muulize wajisikiaje?
 
De gea alifanya save mbili tu za wazi leo. Unataka kusemaje tena.
Soma uelewe kilichoandikwa sio kutafsiri kwa uwezo wa kichwa chako. Nimesema msingekuwa hapo mlipo mwaka huu bila ya De Gea. Ni mwaka wake. Msimu mzima alikuwa mchezaji nyota wa Manchester United.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…