Huwezi kumlaumu EB kwa ile own goal bana,pale wa kulaumiwa aliyeruhusu kirumbirumbi kile [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] then usirudie tena kufananisha mashabiki wa arsenal na vitu vya kijingaPamoja na kosa la kocha. Angalia lawama za hawa wanaomlaumu kocha mmoja wao juzi juzi hapa alikua anasema man u walishinda kibahat sababu ya sub utadhan sub hairuhusiwi au wale wachezaji sio wa man u. Tusiwe kama arsenal fans,mou anakosea sana ila mechi ya jana kama tungeshinda haya makosa yake hakuna ambae angeyaona.
Lile kosa la bailly kujifunga mechi ya liverpool halikuonekana sababu ya ushindi ila kama liver wangerudisha magoli zaid na ushind juu bailly na mou wangekua kwenye lawama kubwa,juhudi zake zote zingesahaulika. Tukubali tu matokeo.
100 timesWenger ni zaidi ya Mourinho!!
Wanamtegea sana yaani mpaka hurumaMaskini de gea [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 714351
Tatizo sevilla sio kosa lakeKarne hii unazungumza ukabila?
Pole sana mke wa jux
Mkuu kwa kweli hapa umekosea na unastahili kuomba radhi kabisa wenzio wana tatizo ni muda wa kuwafariji na sio kuwazishia msongo wa mawazo,Wewe mbona unakalia m...b.oo?
Wakati ni kidume!
Huwezi kumlaumu EB kwa ile own goal bana,pale wa kulaumiwa aliyeruhusu kirumbirumbi kile [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] then usirudie tena kufananisha mashabiki wa arsenal na vitu vya kijinga
Manure out....
Hahaha punguza hasira mkuu,nashangaa unasema kuandika sijui lakini umesoma na umeelewa daaahKuandika kwenyewe hujuiView attachment 714752 hivyo vitu vya kijinga ndio vinavyokuwekesha hapa kwenye uzi murua kabisa. GGMU
Hahaha punguza hasira mkuu,nashangaa unasema kuandika sijui lakini umesoma na umeelewa daaah
Manure out
mkuu nafikiri sina neno kabisa hili suala tushaliongea mno.Humu niliwahi kuongea kuhusu mbinu za mourinho na namna zinavyoua wachezaji + kutokupata matokeo....
Nilimtaja Mikitaryan kama mfano wa wachezaji mfano kwa namna mbinu za mwalimu zilivyo na zitazidi kuua viwango vya wachezaji.... Niliwataja Pogba na lukaku kama wachezAji watakaofuata kwenye orodha ya flop players chini ya mourinho.
Nilipigwa vita saaaaaaaana ila siku zote mpira ni mchezo wa wazi. Game aprroach ya mechi ya Jana ya UEFA hatua ya kwenda robo fainal ndio imeondoa imani zangu zote dhidi ya mourinho. Ni aibu mechi ya jana uje ba Game aproach sawa sawa na uchezavyo na Stoke city au . Inahuzunisha mno.
Niseme tu na ninarudia kauli yangu ile ile kuwa Chini Ya mourinho Team hii haiwezi kufika kokote kibaya zaidi tactics zake zinaondoka f viwango vya wachezaji.
Huyu mshenz morinho anatia hasira sana
Kwauandishi uu sijui utakuwa kabila gani mkuu
Moja ya kauli mbovu sana kutolewa na Manager wa Manchester UnitedHalafu bila aibu, anadai hiyo ni kawaida! Kisha ishuhudia ikitolewa hatua hii mara mbili kabla ya hii hapo hapo OT, akiwa kocha wa Porto na Real Madrid, na sasa akiwa kocha wa MANUTD!