[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]madhara ya kupaki bus mechi ya kwanza yametucost ! valencia mtupu...sahv...! huwezi ukawaacha pogba na mata kwenye game kubwa ukiwategemea watoto lingard na rashford ! na young ndo msnge kabisa huwezi kum2mia ukitaka timu ishambulie...
Mlipaki bajajMkuu masahihisho: hata kama tumepigwa leo hatukupaki basi
Anaingiza martial na mata dk 80Leo lawama zangu zote kwa kocha tumepoteza hii game kwa ujinga wake hakukuwa na sababu ya kumuingiza pogba sana sana alipaswa atoke Sanchez aingie martial/mata
Mkuu masahihisho: hata kama tumepigwa leo hatukupaki basi
Cna la zaid Ila nawapa
Hii,, dedication kwenu
Aslay ft nandy
Subalkher
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uzuri matokeo yamekuja vile wengi tulikua tunatarajia..!Hii mechi Utd wasipoangalia vizuri, itakuwa na matokeo tofauti na matarajio ya wengi
Mmefungwa hamjafungwaMkuu mpira umejulia wapi, magoli yale ya kubahatisha wala hao uliowataja hawajaonesha mpira wowote wa maana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Linatumia nguvu nyingi kucheza na liva linasahau kuwa linagame uefa
Mkuu mpira umejulia wapi, magoli yale ya kubahatisha wala hao uliowataja hawajaonesha mpira wowote wa maana.