Nikiongea humu Mourinho hajielewi huwa natukanwa na wakina radika and the likes...
Hivi mechi ya leo tena nyumbani kulikuwa na haja ya kupack basi kweli .. Huyu kocha sijui amewahi kupitia JKT mlale kwenye mazoezi ya kuruka visiki vya miashoki, haiwezekani awe na hofu ya kukilinda namna hii.
Game ya Liverpool nayo kipindi cha pili alipack bus kama lipuuzi fulani hivi..
GGMU