Sasa mbona ndo club yenye mashabiki duniani na yenye mauzo makubwa au una maana ganiManchester kama sisiemu, haipendwi na wengi ila inaashinda.
Wanaoichukia Manu ni wengi zaidi ya wanayoipenda: Arsenal+Chelsea+liver+Mancity etc.
Kiasi gan ichoTayar nshamkalisha mhindi mkuu
Kwani norwich city hawana mashabiki?Sasa mbona ndo club yenye mashabiki duniani na yenye mauzo makubwa au una maana gani
Kumbe naongea nq tahira... Am sorKwani norwich city hawana mashabiki?
inawezekana mkuu kimahesabu,nakutolea mfano Man utd mashabiki 60,000 ya pili Arsenal 30,000 ya tatu Liver 18,000,ya nne Chelsea 14,000 na ya tano Man City mashabiki 500 ukijumlisha hao mashabiki wa timu nyinginezo kwa pamoja unapata 62,500 watakuwa kwa pamoja wameipita Man Utd lakini Man Utd anawaongoza kwa mbali tu!!huo ni mfano lakini unaonyesha alichokisema jamaa iinawezekanaSasa mbona ndo club yenye mashabiki duniani na yenye mauzo makubwa au una maana gani
Safi awa ndo watu waku argue namminawezekana mkuu kimahesabu,nakutolea mfano Man utd mashabiki 60,000 ya pili Arsenal 30,000 ya tatu Liver 18,000,ya nne Chelsea 14,000 na ya tano Man City mashabiki 500 ukijumlisha hao mashabiki wa timu nyinginezo kwa pamoja unapata 62,500 watakuwa kwa pamoja wameipita Man Utd lakini Man Utd anawaongoza kwa mbali tu!!huo ni mfano lakini unaonyesha alichokisema jamaa iinawezekana
Nikweli mkuu sasa iyo itakuwa pale tuu ambapo club zngine pia hazina maadau lkn kama wapo na ukawatoa wale wachache wanao ikubali automatically man u atabakiw na wapenz wengiinawezekana mkuu kimahesabu,nakutolea mfano Man utd mashabiki 60,000 ya pili Arsenal 30,000 ya tatu Liver 18,000,ya nne Chelsea 14,000 na ya tano Man City mashabiki 500 ukijumlisha hao mashabiki wa timu nyinginezo kwa pamoja unapata 62,500 watakuwa kwa pamoja wameipita Man Utd lakini Man Utd anawaongoza kwa mbali tu!!huo ni mfano lakini unaonyesha alichokisema jamaa iinawezekana
uko sahihi mkuuNikweli mkuu sasa iyo itakuwa pale tuu ambapo club zngine pia hazina maadau lkn kama wapo na ukawatoa wale wachache wanao ikubali automatically man u atabakiw na wapenz wengi
Galaxy s90
Hahaha daaahHamia Liverpool ambao hawashindi kibahati
Manchester United at Old Trafford 17/18:
Played: 20 -
Won: 17 -
Drawn: 2 -
Lost: 1 -
Goals scored: 46 -
Goals conceded: 9 -
Clean-sheets: 13 -
Our fortress. Our theatre of dreams!
Hahahahaha manure mna maneno dah ika kumbuka msimu uliopita nawe ulikuwa hapahapa mkatumia energence door kuingia ucl mkuu,nasi tunasafiria nyota tunajaribu huku napo kupoje
Kati ya mimi na wewe nani taahira mkuu?rejea comment yako iliyopita ulichoandika ndo utajua ujuha wako upo wapi?Kumbe naongea nq tahira... Am sor
Galaxy s90
Umeuona utaahira wako hapo????hakuna klabu iliyokosa mashabiki hata misosi fc ya kwetu tandale ina mashabiki ........Sasa mbona ndo club yenye mashabiki duniani na yenye mauzo makubwa au una maana gani
Dahh!! Acha lakini niliambulia kichwa na miguu na utumbo hahahhahha!!!Asante sana mom. Umechelewa kweli sijui kama supu ya jogoo imebaki