Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kipindi cha kwanza kweli Man U wametumia vizuri sana nafasi walizopata, Salah haonekani kabisa.....mpira hauna adabu , hauna cha kukalili ukadhani kila game litakuwa kama la jana.
Awasubulie wakina man city na arsenal kawakuta wakina mane na filminho hawajah kufunga goli ile safu yote ya liver ya mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…