Manchester United (Red Devils) | Special Thread

samahani naomba mnielekeze jukwaa la Liverpool linapatikana wapi nikawatembelee kidogo
 
No Doubt Salah Leo Amefichwa Kiasa Ya Kwamba Satats Zake Zinaonesha Kila Kitu ni 0%.
Lakini What about Alexis Sanchez Mbona Mumemsahau? Manake nayeye Kapotelea Mwananyamala!!!
Mkuu tuache mahaba, Sanchez kacheza vizuri leo kitimu kulinda.
 
Manchester kama sisiemu, haipendwi na wengi ila inaashinda.
Wanaoichukia Manu ni wengi zaidi ya wanayoipenda: Arsenal+Chelsea+liver+Mancity etc.


Mkuu Hapa Hujaongea Kitu!!!

√ Wanaoichukia Arsenal ni Man U+Liver+Chelsea+ManCity.

√ Wanaoichukia ManCity ni Liver+Arsenal+Chelsea+ManUnited

√ Wanaoichukia Liverpool ni Man U+Arsenal+Chelsea+ManCity

√ Wanaoichukia Chelsea ni Liverpool+Man U+Arsenal+ManCity

So, Post yako ni meaningless..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…