Manchester United (Red Devils) | Special Thread

messi
 

Attachments

  • IMG_20180225_231543_572.JPG
    30.1 KB · Views: 37
MU vs Chel
 

Attachments

  • IMG_20180225_231456_682.JPG
    20.6 KB · Views: 38
hazard
 

Attachments

  • IMG_20180225_231529_817.JPG
    29.3 KB · Views: 41
Hii mechi ingekuwa fainali, Man United tumewatoa kwa sababu mechi ya kwanza 5 November mwaka jana Chelsea tulishinda 1-0 pale Stanford Bridge goli la Alvaro Morata akisaidiwan na César Azpilicueta dk ya 55
Na mechi zote mbili tulikuwa na shots nyingi, short on target nyingi, passes nyingi na possession 54% na ya jana 56%
 
Fainali huwa ni mechi mmoja tu sio mbili
Tulishakutana fainali ya Champions League 2008 kule Moscow tukachukua ubingwa
 
The silence of Chelsea and Arsenal fans on this Platform is proudly sponsored by Manchester United...
Hakuna raha kama unajilia kaugali kako huku hakuna jirani anae kubughudhi utashiba vizuri kama umekula biriani. Ndio uzi huu toka jana tupo wenyewe tu na wachache walio ungana nasi katika karamu hii.
 
Game Yenu Ya Jana imepambanua Baina Ya WAKOSOAJI na WALAUMUJI.

WAKOSOAJI (CRITICS):
Hawa Hufanya analysis zao Na Kuangalia Tatizo Husika la Timu (Wachezaji), Kocha, Board na Wamiliki.
Ukosoaji Katika Soccer si Jambo Baya Kwani lina nia Ya Kujenga na Wala si Kubomoa.

Na inapotokezea Timu Kushinda Mchezo Haimaanishi Kuwa Timu, Kocha Board na Wamiliki Hawana Matatizo! Kwahiyo Wakosoaji huwepo Kama Kawaida Kwa Ajili Ya Kuchambua Weakness zilizojitokeza.
UKOSOAJI SI CHUKI BALI NI UCHAMBUZI.

WALAUMUJI (BLAMERS):
Hawa Hulaumu Pale Timu inapotoka Sare au Kupoteza Mchezo tu na Kushambulia wachezaji na Kocha.

Lakini Timu inaposhinda Mchezo Mmoja tu (Mfano Jana), Huwaoni Wakifanya Analysis yoyote hile wala Hawalaumu na Huishia Kujificha au Huja Kusifu Kuwa Timu imeshakaa Sawa na imepiga Mpira Wa Maana. Lakini Subiri Next Timu ikidraw au Kutoka Sare uone kauli zao (Mourinho Hafai, Martial Aekwe Bench, Nani aliyeshauri anunuliwe Lukaku, Smalling na Young Hawafai Kucheza Man United, Valencia Mbovu, Pogba aekwe Bench, n.k.)

KWAHIYO KWA WALE CRITICS NI KUJIPOTEZEA MUDA MUNAPOBISHANA NA WALAUMUJI.

Kwani Walaumuji si Wachambuzi Bali Ni Wachafuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…