😀 😀 Basi ajue kama haikuwa final na tumesepa na point zetu tatu muhimu...Huenda Kakusudia Fainal Ya Kombe la Club Bingwa Africa (CAF) coz ninakumbuka ilikuwa ikichezwa 2 legs.
Ameonyesha kiburi na asiyejali timu, kuna uwezekano akachezea benchi akirudi au akauzwa!!Atakuwa anajiona mjinga alilazimisha mkopo wa kwenda valencia mourinho hakupenda alimwambia abak sasa scott anamtumia salam tu perreira angecheza sana tuombe tu arud asiingiwe na ibilis
Jose Mourinho has drawn up a six-man shortlist to replace Carrick and Fellaini this summer:
- Kroos
- Milinkovic-Savic
- Seri
- Willian
- Wanyama
- Jorginho
Maoni yenu wakuu mnansemaje hapo?
Madogo kama hawa ile ni timu kubwa inayohitaji ushindani anahitaji adhihirishe haswa kuwa anastahili kuwa 1st 11 la sivyo inakuwa sio sehem sahihi sana ya kukuza kipaji chake maaana anahitaj kucheza mara kwa mara ili kujiimarisha na njia pekee ni mkopo kwa timu itakayo mwakikishia kucheza 90mnts maana kwa msimu ujao tunahitaji viungo 2 au 3 wababe na wabunifu wakusaidiana na matic tunashukur huyu dogo Mctom kidogo anataka kutupumbaza kuamin kwamba sasa tunaenda kuwa na kiungo kigumu na wabunifu si kwelii tunahitaj viungo wazoefu na wabish kuchukua kombe msimu ujaoHuyu Dogo Anakipaji Kizuri tu! Lakini Kwa Ninavyomuelewa Mourinho basi siioni Future ya Huyu Dogo.
Willian sioni umuhimu wake hapo hata wanyamaJose Mourinho has drawn up a six-man shortlist to replace Carrick and Fellaini this summer:
- Kroos
- Milinkovic-Savic
- Seri
- Willian
- Wanyama
- Jorginho
Maoni yenu wakuu mnansemaje hapo?
Nick butt na paul scholes walitokea wapi?Madogo kama hawa ile ni timu kubwa inayohitaji ushindani anahitaji adhihirishe haswa kuwa anastahili kuwa 1st 11 la sivyo inakuwa sio sehem sahihi sana ya kukuza kipaji chake maaana anahitaj kucheza mara kwa mara ili kujiimarisha na njia pekee ni mkopo kwa timu itakayo mwakikishia kucheza 90mnts maana kwa msimu ujao tunahitaji viungo 2 au 3 wababe na wabunifu wakusaidiana na matic tunashukur huyu dogo Mctom kidogo anataka kutupumbaza kuamin kwamba sasa tunaenda kuwa na kiungo kigumu na wabunifu si kwelii tunahitaj viungo wazoefu na wabish kuchukua kombe msimu ujao
Willian ?? Kwahiyo baada ya Kumchukua Mata na Matic hajayenu Muishushe Daraja Chelsea?

Majirani zetu sijui leo wataenda kuwafanyia nini wale jamaa!
DID U KNOW manchester United and Barcelona are d only 2 teams from d Europe's top 5 leagues that have not conceded more than 2 goals in a single match this season
willian yuko vizuriJose Mourinho has drawn up a six-man shortlist to replace Carrick and Fellaini this summer:
- Kroos
- Milinkovic-Savic
- Seri
- Willian
- Wanyama
- Jorginho
Maoni yenu wakuu mnansemaje hapo?
DID U KNOW manchester United and Barcelona are d only 2 teams from d Europe's top 5 leagues that have not conceded more than 2 goals in a single match this season
kweli hii basi nitakua shabiki feki wallahi sikuwa najua.Ukweli lakini inauma sanaArsenal anakufa tena
Mkuu ipo siku wataelewa tuNot many players could do that to Kante
Not many players could do either of these two things to Kante, who was labelled as the best midfielder in Europe by Frank Lampard last season.
![]()
But then Pogba is no ordinary footballer
Pogba akiwa huru kaa nae mbali muda ni hakim huyu mtu mtamuelewa tu.