Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani mm siamini kama huyu mctominay ni mchezaji wa kuanza man utd
 
Kimya sana humu!
Kuna michezo kama basketball, table tennis na netball..
Siyo lazima mshabikie timu hii mbovu..🙂🙂🙂🙂
 
Hana mchango mpaka sasa dakika ya 14 beki Young kashapanda na kupiga krosi mbili (ingawa zilikuwa mbovu) yeye yuko pale kama winga anarukaruka tu hajafanya chochote Beki anatoka nyuma anakuja kumpiku!!!

Vipi ile assist aliyotoa umeiona?
 
kazi kweli kweli, yaani siku hizi mpira wenu umepooza mpaka nililala, kuamka mmesawazisha, bure kabisa..
 
Kuna Kamtu Kanaitwa Kajirudi akiingia sijui Katakuaje Haka Kamchezo!
 
Kuna tatizo mahali. Kule wing ya kulia hawapeleki Moira hata kama winger yupo position nzuri. Wanaona bora wapoteze. Hii mbaya kwa Umoja wa timu.
 
Vipi ile assist aliyotoa umeiona?
Mkuu achana na hiyo..sasa ameingia Lingard badala yale subiri uone mpira wa maana. Dogo kama amefungwa boda boda miguuni. Utamuona huku nyuma eneo la Young anakaba na kuchukua mipira halafu muda huo huo utamuona anaambana kule mbele kufunga goli. Mchezaji wako yule mzito sana(Lazy).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…