Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,791
- 21,972
Sawa mkuuTuitakieni kheri timu yetu Wakuu
Kipindi cha mpito tu hiki japo kigumu sana
One day zle beki mbovu hazitakuwepo pale
Wale viungo wasio na uwezo hata wa kupiga pass za macho hawatakuwa pale
Wale viungo wasio na uwezo wa kukimbia kwenda mbele hawatakuwepo pale..
Na ule mfumo usiojulkana hautakuwepo tena
Na yule mkufunzi mbishi natumai atabadilika
Unless ndoto zake zipotee mithili ya mshumaa katika upepo...
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG] [emoji255][emoji255][emoji255]
Almighty God Be With Us..
Pamoja sana Mkuu lile Jamaa litakuwa na stress za vyuma kukazwaNimeshambonyezea kitufe cha "ignore" huyo mhuni mkuu, watu kama hao siku hizi hawanisumbui.
Anataka kuleta ubishani wa kihuni wa mtaani hapa.Pamoja sana Mkuu lile Jamaa litakuwa na stress za vyuma kukazwa
Chelsea hawana beki!? Duh!Ila Chelsea hawana beki wala forward ...viungo wao ndo msaada wao....ko mourinho inabidi awe makini pale kati....
Chelsea hawana beki!? Duh!
Kuna beki amecheza mpira zaidi ya Azpillocueta msimu huu pale EPL? Rudigar waweza kumlinganisha na Ashel Young? Christensen anazidiwa na beki yupi wa kati pale Man U?
Tunashinda, wee vipi?Vipi Leo ushindi au a nil draw kama kawaida yenu
Naona ile ban yako ya miezi 6 imeishaVipi Leo ushindi au a nil draw kama kawaida yenu
hamna ki2 hapo ! huyo young,smalling na martial kutokea kulia watazingua snNimefurahi kumuona Scot Mctominay amsaidie pogba humor ndani. Naamini kama tukienda na approach ya Ku attack tutashinda
Ivi wewe unaubongo kweliIla Chelsea hawana beki wala forward ...viungo wao ndo msaada wao....ko mourinho inabidi awe makini pale kati....