Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho alikuwa kocha mzuri alipokuwa Chelsea season ya kwanza na alipoenda Inter basi baada ya hapo kashinwa kabisa kucope na mfumo wa sasa wa mpira duniani, anatakiwa abdili tactics aache mambo ya total defence yani mpira wa jana ni dhahiri kwamba tunacheza Booring football, ndo maana hata mashabiki huwa hawashangilii maana tunashinda kwa taabu sana.
 
Kama wewe ni shabiki wa mpira unajua kitu kinaitwa experience. Goli tulilofungwa ni uzembe wa beki ambaye hana uzoefu na michuano hii, kwa iyo anakua anacheza kwa presha mihemko.

Kiuchezaji Barca alikua anakaa, game plan ilikua inahitaji kucheza vile. Ukifunguka unagongwa za kutosha na ndicho kinacho waponza Arsenal, huwa wanataka kucheza kama Barca ilihali hawana wachezaji kaliba ya Barcelona mwisho wa siku wanaishia kugongwa 4.

Tukutane weekend. Hapohapo kwenu. Muone huyo msimamizi wenu wa mazoezi atakavyo panic
 
Five of Manchester United’s last seven Champions League away matches in Spain have ended goalless.
 
leo umeandika vizuri,ulichokua unaboa watu ni kuwashambulia wenzako badala ya kujikita ktk hoja yako,mfano zamani ungeandika jina radika mara 10 katika post hii hii moja!!tunatakiwa tuzungumzie (kama hivi) kukwama kwa timu yetu sio kushambuliana wenyewe kwa wenyewe!!kwa mara ya kwanza nimependa post yako vile haina makwazokwazo kwa wenzako
 
Umeandika nini au hujui mpira ni mchezo wa makosa ukizembea unatunguliwa ipo hivyo huyo bek si kocha wako alimwamin kwan hakujua kama hana uzoef
 
Nilikugonga darajani. Ukagongwa na Bristol na Huddlesfield. Ukaja kushinda kwa Arsenal. Mechi unayoweza kukamia ni ya Arsenal peke ake.?
Kwani hukupigwa old traford? Kocha wako mech za ugenini ni mbovu nakubutua asilimia 900

Matokeo ya suluhu ya barca nao chelsea wanajiona wanatimu wakat mnamkamiaga baca
 
Umeandika nini au hujui mpira ni mchezovwa makosa ukizembea unatunguliwa ipo hivyo huyo bek si kocha wako alimwamin kwan hakujua kama hana uzoef
Nadhani maandishi yanakubaliana na nilicho kiandika. Ila unajaribu kuwa tofauti
 
Kocha wako wenger ana makombe mangap na hizo takwimu

Jana barcelona kaupigwa mwingi goli anakoswa yeye kuna muda hayo hayana maana
Unajifariji kupitia weakness za jirani......hahahaha timu yako kwasasa kimeo mkuu licha ya wachezaji ghali mlionao so jiandaeni kisaikolojia ..........
 
Kwani hukupigwa old traford? Kocha wako mech za ugenini ni mbovu nakubutua asilimia 900

Matokeo ya suluhu ya barca nao chelsea wanajiona wanatimu wakat mnamkamiaga baca
Kama wewe mia 9. Mi ni 1000. Kaa hapohapo weekend hii hapa
 
Hizo mbwembwe zako za tukutane wik end bwana mdogo futa unachezea kipigo kama kawaida uwe unaomba mechi zote za lig muwe mnacheza na barcelona mkipata suluhu mmefufuka
 
Hizo mbwembwe zako za tukutane wik end bwana mdogo futa unachezea kipigo kama kawaida uwe unaomba mechi zote za lig muwe mnacheza na barcelona mkipata suluhu mmefufuka
Eti nachezea kama kawaida. Sasa kawaida ipi labda unayoizungumzia.? Sisi wote ni wabovu ila siwezi kunyanyaswa na wewe. Nakupiga nje ndani yan kama chapati unaiva kotekote.
 
Unajifariji kupitia weakness za jirani......hahahaha timu yako kwasasa kimeo mkuu licha ya wachezaji ghali mlionao so jiandaeni kisaikolojia ..........
Arsenal vipi nayo? Mi sijifariji nafaham chelsea hana chake old traford kama wewe mnavyokufumuaga
 
Kuna muda maandazi unaweza kuwa wewe gemu nyepesi ya sevilla ambayo ina marudiano kwa nn uhatarishe wachezaj?

Mech inayofuata ya chelsea apigwe nyumbani? Ukipigwa top 4 ipo rehen unafikir gem plan ya leo kocha kakurupuka?

Kwani top 4 wewe ni lazima kwako?????mboni last season hukuwa ndani ya top4? Ulikuwa top 10....
na lazma upigwe tu watu wa london sio mchezo
 
Eti nachezea kama kawaida. Sasa kawaida ipi labda unayoizungumzia.? Sisi wote ni wabovu ila siwezi kunyanyaswa na wewe. Nakupiga nje ndani yan kama chapati unaiva kotekote.
Ndoto za mchana nje ndani iyo vipi au umesahau kile kichapo cha 2-0 kwa sasa chelsea hainipi homa timu ni city na liverpool tu wakikuamulia wanakusaka kweli wewe chelsea mgonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…