Nashukuru kwa kulitambua hilo,manchester hatuna kocha mbovu bali tuna timu yenye wachezaji wa kawaida,kwa timu iliyopo ya beki smalling na jones na kuwa tegemea akina rashford ata arud babu ferg hakuna kitakachobadilika.mpira wa sasa ni pesa,angalia man city,psg,barcelona,real madrid na vikosi walivyo navyo.mashabiki wa man u lazma tukubali tuna timu ya kawaida kabsa
Unataka wasajiliwe wachezaji gani?
Giggs alishauri Jesus wa Mancity asajiliwe akapigwa chini ...
Manchester united ni moja ya top spenders barani ulaya, cash inayotolewa ndio inayosajili hao wakina Linderlhof n.k Leo unakuja kusema team INA wachezaji wa kawaida , nani alaumiwe kocha anaewasajili au nani ????
Amini nakwambia Mourinho Leo akipewa Manchester city na wachezaji wale wale timu itapotea na Guardiola akipewa timu yetu utashangaa maajabu...
Unasema Rashford ni mbovu ila nakuhakikishia ,miongoni Mwa super talent academy ya Manchester imewahi kutoa ni huyu Dogo trace back kuanzia debut yake EUROPA chini ya Van Gal.
Problem ni Kocha Wetu formation ya kupack mabasi inawakosesha "Football rhythm" wachezaji Wetu ambao ni Driblers, mwisho wa siku tunawaona wabovu. Rashford ni kiberenge kama Sterling,Pedro au Mane , hawa timu ikipack basi utawaonea huruma....
Imagine rashford angekuwa chini ya Guardiola anaeamini kwenye attack attack attack attack attack
attack attack attack attack attack
attack attack attack attack attack
attack attack attack attack attack
attack attack attack attack attack
Kupack basi ni simu kwa baadhi ya wachezaji , mikhtaryn ni mfano mzuri.