Manchester United (Red Devils) | Special Thread

liverpool wiki ijayo utanuna tu jana mmecheza na acadeny yenu umefurahi muda si mrefu tutamuona vani daiki

Mkuu Mechi ijayo napiga na West Ham! Hivi ninune kwa West Ham??? 😀 😀 😀
 
Ni mechi ngapi Pogba +Matic wamecheza na timu ikacheza vizuri na kushinda ?
 
Ni mechi ngapi Pogba +Matic wamecheza na timu ikacheza vizuri na kushinda ?
Suala sio kucheza pamoja issue ni wote kuchezeshwa kama "Holding Midfielders"

Nadhani utakuwa unanielewa
 
Suala sio kucheza pamoja issue ni wote kuchezeshwa kama "Holding Midfielders"

Nadhani utakuwa unanielewa
Nafahamu ,Pogba amecheza kama holding midfielder baada ya Sanchez kusajiliwa game ya jana mbele kulikuwa na Sanchez,Martial,Lukaku & Lingard hao ni 4 attaking players hii nayo ni mfumo wa kujihami?
 
Hakuna kitu amekosa goli la waz yuko peke yake pale unafikili mtu km kun aguero anakosa???
Kwa hiyo aguero kila akiingia ndani ya 18 ni goli? Tafuta marudio ya manchester city anakufa goli moja kwake la rashford dakika ya 6:05 kukosa ni kawaida
 
Pogba ni mwehu hizo 600 zote apewe kwa kiwango gani?
 
Nafahamu ,Pogba amecheza kama holding midfielder baada ya Sanchez kusajiliwa game ya jana mbele kulikuwa na Sanchez,Martial,Lukaku & Lingard hao ni 4 attaking players hii nayo ni mfumo wa kujihami?
Hii ndio formation tumecheza jana , 4-2-3-1 .... Timu kama Newcastle unawaweka matic na Pogba wapaki basi???? Kwanini tusicheze na matic peke yake Pogba awe Juu ????

Hivi unataka kuniambia lingard ana ubora wa kumnyima namba Pogba hapo Juu ???? Jana lingard kama namba nae na muda mwingine 10 akichange na Alexis amepiga pasi ngapi "Murua" za mwisho kwa namba Tisa????

Vyovyote iwavyo Paul Pogba si mkabaji na hatendew haki. Nina Uhakika kama Jana Pogba angecheza Jana kama namba nane au 10 tungekuwa aggressive kwenye mashambulizi refer mechi ya kwanza old Trafford, Alifunga goli 1 na assist 2 nadhani.

Safu ya ushambuliaji hata uwe na ronaldo au messi bila kuwa na namba nane au 10 mzuri hawatafanya lolote. Jana ndicho kilichotokea
 
Attachments

  • 1518417014056.png
    29.8 KB · Views: 52
Pogba ni mwehu hizo 600 zote apewe kwa kiwango gani?
Hizo hela hawezi kulipwa hapa tunapingana na mbinu za mourinho ktk baadhi ya mechi na kumtetea pogba ila kuna muda kiungo unatakiwa uwe unacheza sehemu yoyote kwa pesa aliyonunuliwa na mshahara haiwezekan kiungo ucheze namba moja tu kwa mfano mata alipoingia alifanya vitu vingi sana kwa muda mfupi sasa kama kiungo huna mbinu za kujilinda ni shida tunamtetea pogba hatutak muda wote kuzuia ila na yy ni mvivu kujifunza kuzuia labda wataalamu watuambie box to box midfielder anakuaje
 
Nafahamu ,Pogba amecheza kama holding midfielder baada ya Sanchez kusajiliwa game ya jana mbele kulikuwa na Sanchez,Martial,Lukaku & Lingard hao ni 4 attaking players hii nayo ni mfumo wa kujihami?

Mkuu ule ni mfumo wa kujilinda 4231 unapata goli la haraka unaanza kuzuia kucheza counter atack hawa newcastle wakujinda kweli?

Halafu najiuliza sana sawa pogba hatendewi haki ina maana hata jonjo wa kumpoteza?
 
Tuache kumlaumu JM, je misimu minne iliyopita tushawahi kushika nafasi tuliyoishika sasa hivi? Je walio muongezea mkataba unadhani ni wajinga??

Alichukua timu ambayo kwenye uefa haipo ila sasa hivi tupo uefa na msimu ujao tutakuepo!!

Kwa mtazamo wangu hamna kocha anayeifaa man u zaidi ya mou kwa sasa!!
 
Hili nalo linaweza kuwa tatizo mkuu!!
 
Lingard sio mchezaji wa kuanza workrate yake ndio inamsadia,Pogba hata ukiangalia body language yake unaona kabisa hayuko OK it's very risk kumchezesha Matic peke yake anacheza kwa sindano na amechoka

Matic anacheza nyuma ya Pogba but uliona pasi aliyompa Martial akakosa goli ndio maana unaona hata mabeki wanakuja kushambulia

Wachezaji wanafanya many individual mistake kuliko matatizo ya mfumo,sidhani kama makosa aliyofanya Sanchez,Martial,Lingard,Smalling yanasababishwa na formation
 
Unaposema pogba hakucheza namba nane,je nani alicheza namba nane ikiwa matic alicheza 6, lingard 10, martial 7 na sanchez 11??
 
Mkuu ule ni mfumo wa kujilinda 4231 unapata goli la haraka unaanza kuzuia kucheza counter atack hawa newcastle wakujinda kweli?

Halafu najiuliza sana sawa pogba hatendewi haki ina maana hata jonjo wa kumpoteza?
Mpira ni magoli ukifunga yanakupa confidence kama unapata nafasi huzitumii utapoteza tu,United walidominate game ya jana Newcastle walipata chance 2 wakafunga goli baadae wakapaki bus
 
Mpira ni magoli ukifunga yanakupa confidence kama unapata nafasi huzitumii utapoteza tu,United walidominate game ya jana Newcastle walipata chance 2 wakafunga goli baadae wakapaki bus
Kweli mkuu yashatokea tugange yajayo ila jana tulikuwa wazembe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…