Ndo mana nimekaa kimya
Nakumbuka arsenal walipomnunua Xhaka walikimbilia kumlinganisha pogba kwa sasa kimya hata hao liverpool aliwekwa jordan henderson na allen wa stoke city kwamba ni bora kwa pogba wako wapi?
Jaman pogba ni kocha tu akitafuta kiungo wa kumfanya awe huru hizi kelele zitasepa
Wanaoujua mpira nafikir walimuona akiwa juve kaingia kwenye kikos bora cha fifa mara mbili mfululizo akiwa na miaka 23 tu tena wachezaj 11 sisi wa tanzania bado sana tunaongozwa na chuki sio uhalisia wa jambo suala la muda tu
Jamaa kahamia kwa kdb baada ya viungo wa liverpool kusepa
Kwa sasa KDB anafanya vizur sana.
Nashukur kwa kuweka takwimu za kila mchezaj alielipuka msimu mmoja mmoja