Walimsifia dembele jana nafikiri leo waje kumpa sifa na huyu mtu aliyefunika mchezaji ghali wa paun 90m hahahaha jamani tuweni siriaz kidogo hivi kama pogba ana thamani ya euro 100m hivi huyu jonjo shervey si atavunja rekodi ya neymer!!!!!!!!!!
Uwiiiiiii!!! Mkuu usikumbushe zile nyakati nazo zilikuwa ngumu balaa kila nikikumbuka sijui tulivukaje, mi naona ugonjwa bado haujapata daktari bingwa,but tutafika tu panapotakiwa!! Lets keep moving...
Wamekula kona.
Teh teh teh, ukimcheka mwenzio nawe unakaangwa.
Mi Arsenal, jana Manu walivamia kwetu kule ma kashfa.
Hahahaaaaaa, leo raha sana, Mnyama kashinda Manu kapigwa.