Wakuu hivi mnaonaje tusiwe tunawajibu hawa jamaa wanaotoka kwny majukwaa yao then wanakuja kutukana na kupigia kelele humu.!? Maana tunavyowajibu ndo wanazidi kuvimba vichwa pumba hawa..
Lazima alaumiwe ufindishiji wake unawafanya wachezaji mara nyingi wanakuwa na nawazo ya kujilinda team aina speed.
Wachezaji awana nguvu wanaanguka tu, nauliza hii team mara ya mwisho ni lini wamefunga goal la mpira wa kona
Atalaumiwa kwa selection yake mbovu ya first eleven. Umeona baada ya kina Mata kuingia walivyopiga mpira mkubwa? Narudia tena na mnitukane tena. "HAKUNA MECHI ATAANZA MARTIAL UKASHINDA"
Wamekula kona.
Teh teh teh, ukimcheka mwenzio nawe unakaangwa.
Mi Arsenal, jana Manu walivamia kwetu kule ma kashfa.
Hahahaaaaaa, leo raha sana, Mnyama kashinda Manu kapigwa.