Hujui mpira inaonesha wewe.
Man United Haiwezi kuizarau Liverpoolfc kwani kufungwa na mpinzani wake ni kubaya kwa nafasi yoyote ile hata kama ingekuwa Liverpoolfc ipo Daraja la Kwanza. Sir Alex ni mtu mwenye akili ya Mpira hajaanza juzi pale, Sir Alex mie Liverpool ila namuheshimu alichofanya ni kuisaidia timu yake kwa kila hari, hizi ndio sababu nakuonesha hajazarau ila alikuwa anataka angalau draw.
1. Sir Alex kaona katika timu Man united wanaweza kufungwa basi Liverpoolfc imo kwa time ile walioenda Anfield, Kwahiyo katizama ana Point 19 cha kufanya nikuweka Middle nyingi kuzuia LFC isicheze ndomana ukaona Jones alikuwa Middle na Flecher mtu wa kupanda alicheza Mbele ya mabeki.
2. CL inakuja na Man united lazima CL wabebe Point 3 Jengine wakitoka Kule wana Man City. Kwahiyo inaonesha zahiri United walicheza for Draw ikibahatika ushindi ni Bonus Kwa Man U kubeba Point Anfield ni Point kubwa ukitegemea sehemu ya kufungwa umebeba Point na una Point Nyingi kwani City inajulikana watakuja kuwa na ma draw Mengi hawaendi mbali.
3, ingekuwa LFC wana Point 18 hivi na United wamekuja pale wana Point 16 au 19 unafikiri angechezesha vile angetaka ushindi.
Zaidi ya hapo United inatimu nzuri huwezi kufananisha na LFC, LFC ni timu ambayo inatakiwa kujipanga sana ifikie pale inapotakiwa.
Sir Alex anaujuzi wa Fikra sio kuchokesha timu ovyo.
wewe ni kilaza wa football............mpira wa miguu ninaujua na nimeucheza sana.......kama umeshindwa kuona tofauti niliyoitaja basi tena ..........hakuna kitu kama hicho eti unaingia mashindanoni ili ukatoe draw.........hata Brazil/Argentina ikienda LaPaz.........suala ni moja tu.........ushindi unatafutwa..........
Eti 'Kuchokesha timu"......yaani ndio kabisa inaelekea hata "ndinga" uwanjani hujawahi kukanyaga.........timu inatakiwa iwe na quality players wanaocheza kwa ushirikiano............Kwa SAF huwezi kushuhudia tabia za akina TEVEZ/Lampard........wakiwa substituted wanapiga chini chupa ya maji..........hata C.Ronaldo alipoleta jeuri kipindi fulani ManU naye alipigwa benchi na SAF..........
Wakuu naona mmekuwa torpedoed, khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nguvu ya soda imekwisha?
Hongereni..nasikia mmenusa TOP 10 kwa mara ya kwanza tangu ligi ianze...
Nt bad..
This fella is a real jerk, nilishamchukia in the aftermath of WC, ila naona this time nitamchukia mara mbili..... mwone, meno ka nguruwe pori.
Mimi chi chemi khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ndio mkuu chichi tinakwenda mechi kwa mechi tumebakiza 30 games, nachikia nyinyi mnakwenda kwa mkupuo .... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hongereni ......
Ooops BTW nachikia kuna Investigation FA ku nani?
And then ''United's in-house television channel MUTV were forced to edit an interview with Phil Jones following Saturday's game after he spoke out over the challenge from Rio Ferdinand on Charlie Adam. He said the Scotland midfielder dived to win the free-kick.''
Tabia haibadiliki, ukiwa mtoa rushwa huwezi Wacha hata kwenye ukweli bado wanapindisha mwaka huu mtafilisika na Brown envelopes shukuruni hamkupata charge ya maandazi. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Diver...............!
Tupeni tathmini mnaoangalia game, naona mambo yetu si mazuri CL
Mpo wakuuuuuuuuu?