Pogba sio jukumu lake alilopewa ndo mana hata sijamzungumzia mourinho nahisi anashindwa kumtumia alimpatia mechi ya everton alipokuwa akitokea kushoto na hata mechi ya arsenal atake asitke lazima anunue viungo level za kina vidal kumfanya pogba awe free KDB mwenyewe anatembea nyumba kuna mwamba fernandinhoSorry bro! Hivi Pogba Jana Alikuwa Akiumwa au Delle Ali na Eriksen Walifanya yao ? 😀 😀 😀
Mi huyu kocha namuelewa sana ktk timu alizopita zote hajakosa kubeba vikombe
Sifikirii kama kuna mshabiki timu yake ikicheza vizur ataacha kusifia hata ukipigwa bado utachambua makosa huo ndo mpiraMkuu Lee Cho in Nipo Kwenye Maeneo 😀 😀 😀
Kuna days Nilipost Kitu Hichi ↓↓
Nilisema Kuna Siku Nitawaambia Sababu Ya Kucheka, Kwahiyo Nilichochekea Ni Kwamba Nilipoziona Zile Comments Za Watu Kusifia Performance Ya Hali Ya Juu ya Man United walioionesha Zidi ya [HASHTAG]#YeovilTown[/HASHTAG] huku Wakisahau Kuwa Timu waliocheza nayo Ni Ya Mchangani... 😀 😀 😀
Ni kilichonifurahisha Nikuwa Niliamini Majisifu yao Hayata Last long... Na Leo Ndiyo hii washageuka!
[HASHTAG]#PlasticFans[/HASHTAG] Ni shida...
Utasema bonge la mchezaj kumbe daa mbona sisikii madrid au barcelona wakimtaka zaidi ya kupamabana na wakina coutinho?Wa kufanana na KDB ni nani?
Katika makuzi yako humjui hata mtu anaelia city msimu hhu wanabahat tu kwani msimu uliopita walipotoka kapa hao hawakuwepo?Tafuteni na nyie mwamba sio kulia lia
Kwani nani hajengi timu mbona na ww unaleta hoja ya kishamba umesikia pale ndo mwisho wa usajili wa united?Hoja ya kishamba sana jamaa alikuwa anajenga team
Brain washed ni ww sasa city na hizo level wapi na wapi Ww?Kumbe kuwa bora mpaka utakiwe na Madrid na barca?
Ur total brainwashed
Tulishachukua msimu ulimaliza kapa had msimu ujao tenaDirisha si bado sajilini sasa mchukue makombe msimu huu
Ujinga uliopostUmeandika ujinga gani?
Sijawahi kuona Man Utd ikicheza hovyo kama leo!
Pamoja na hayo yote, wachezaji wanacheza chini ya kiwango chao. Na ndio kilichotokea jana. Si kwamba wamecheza mpaka mwisho wa uwezo wao.Pole sana mtani,ifike time tukubali kua hizi timu kwa sasa zina mashabiki wengi na wapiga kelele tu ila tunachokiamini hakina uhalisia kabisa honestly tuna mediocre players kibao ambao wana homa za msimu ukiangalia gap alilotengeneza Man City unaona kabisa tumebakiza kelele tu.
Mbona unasema baada yakufungwa kipindi akishinda husemi au yeye kawa mungu kwamba kila game lazima ashinde acha umaandazNiliandika hii mwaka Jana December, Ndio msimamo na maoni yangu mpaka sasa.
Nilitukanwa sana na wanaojiita "Die Hard Fans" wanaotulazimisha nyekundu tuseme ni nyeupe.
GGMU
Players like Blind, Smalling, Young, Fellain, wanaongeza tu tu idadi ya members kikosini ...toa hao leta watu
Hapa umeongea point ya msingi sana.Utulivu na uvumilivu ni kitu cha muhimu sana kuliko kitendo cha kukosa msimamo
Ila nlicheka sana hii,yani nili imagine hali uliyokuwa nayo kwanzaTunafukua makaburi