Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilichojifunza mechi ya leo

Nemanja Matic amechoka sana mara baada ya kutumika kwa muda mrefu hivyo ni wakati wa kumpa nafasi na Carrick.

Ashley Young apumzishwe na nafasi yake apewe Luke Shaw natural left back.

Chris Smalling anachezaje wakati mtu kama Marcos Rojo mzima

Man Utd chini ya Jose bado tupo maili nyingi sana kuufikia ubingwa wa EPL.
 
Mkuu kwani aliyetakiwa kumsaidia Young kukaba ni Sanchez?..kwa formation ya leo sema ni nani alikuwa hashuki kukaba?
 
Toka niwe shabiki wa hii timu leo hata mbao wangetunyoosha tushukur Mungu hatujapigwa tatu mzuka kama jirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…