sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,610
- 2,158
Jirani yako real nilimchapa 3, jana nimechoma kijiji cha watu huko 5_0View attachment 682523
Wabeba matokeo mfukon utawajua we taja taja hayo majina mpira uwanjani naona genge la wahuni wa espanyol mliwavuruga
Wewe unapigwa na Bristol city utamuweza barca?Huna ubavu huo, kama unabisha tutakutana utaomba poo!
Sasa si kila mwaka mngekuwa mnabeba makombe hujiuliz kwa nini madrid mfalme wa kombe la la liga kwani barcelona amewah kushuka daraja? Wakat barcelona,madrid na athletic bilbao ndo timu ambazo spain hazijawah shuka daraja ila baca kashindwa kukata gep la makombe acha manenoSubirini tu, siku hiyo mkipaki treni L10 atalisambaratisha tunapigilia misumari kuanzia 9
Kama mfuatiliaji wa hizo gem toka zidan achukue timu anafungwa kwake na yeye anakuchapa camp nouJirani yako real nilimchapa 3, jana nimechoma kijiji cha watu huko 5_0
Pointless hii kabisaWewe unapigwa na Bristol city utamuweza barca?
Kwani united na Bristol city nani mkubwa?Pointless hii kabisa
This is active madness
Aspenyol na baca nani mkubwa?
Kwani united na Bristol city nani mkubwa?
United nyie ni vibaraka wa Madrid waume zenu ndio maana tuliwafunza adabu UEFA final 2009, 2011Sasa si kila mwaka mngekuwa mnabeba makombe hujiuliz kwa nini madrid mfalme wa kombe la la liga kwani barcelona amewah kushuka daraja? Wakat barcelona,madrid na athletic bilbao ndo timu ambazo spain hazijawah shuka daraja ila baca kashindwa kukata gep la makombe acha maneno
Mpira umeanza juzi wewe kizazi cha mess akistaafu mtahama timuKwani wewe carabao cup bado umo?
Hiyo sio league mjomba league tunatandika watu goal za kutosha Madrid alikufa 3 bila united atakufa ngapi?
Subiri kipigo toka kwa sevillaBarca angemfunga sasa espanyol kwa ulinganifu wenu mfu mpira mmeanza juzi nyie hamna lolote na tunategemea floo yenu hapa kwa hasira za sanchez
Utakuwa hujui matokeo ya mpira kuna kushinda,kufungwa na suluhuSubiri kipigo toka kwa sevilla
Nimegundua kuwa uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo mnoMpira umeanza juzi wewe kizazi cha mess akistaafu mtahama timu
Dembele??Mimi barca original natamani sana nikutane na hili genge la wahuni uefa, nivuruge hata goli tisa, L10 manne, suarez 3, Dembele 1, Umtiti 1.
Sasa mbona mourinho akifungwa huwa mnalalamika?Utakuwa hujui matokeo ya mpira kuna kushinda,kufungwa na suluhu
Dogo karibu mpiran
Tuliza kijambio, naona bwanaako bado hajaja mpaka sahii.Dembele??
Unakunywa pombe gani?
Bristol city kamfunga man barcelona kafungwa na espanyol lakin man hawez kumfunga barca kwa kuwa kafungwa na bristol city akili zako zipo timamu? Hilo nalo swali kama espanyol anamfunga barca why united ashindwe?Nimegundua kuwa uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo mno
Sasa wewe uliyeanza kushabikia zamani mbona unachemka kujibu easy questions kama izo?
Ushawahi kuona nimeandika hapa huo utumbo? Fukua uje nao hapaSasa mbona mourinho akifungwa huwa mnalalamika?
Unaandaa team ili ufungwe au ushinde?