Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jahaz modern taarab
 
United are investigating their security staff after this picture was leaked from the clubs CCTV footage. [@TuftyMUFC]
 
View attachment 682312 United are investigating their security staff after this picture was leaked from the clubs CCTV footage. [@TuftyMUFC]
inavyoonekana kama jamaa wamepiga picha tv, yaani zile tv/monitor ambazo zinaonyesha matukio ya cctv. hilo neno osd tu hapo juu na quality inaonyesha hivyo.

so ni rahisi kumjua mchawi nani, waliokuwa chumba cha cctv wakati huo watatajana tu.
 
Sio mara ya kwanza kwa staff wa Manchester kuvujisha siri, pogba na de gea picha zao zilisambaa hata kabla ya official announcement.

Pogba kuna picha alipiga na akina mama watatu akiwa amevaa jezi ile nyeusi, de gea alipiga akiwa na wakala wake pamoja na wana sheria wa timu wakiingia kwenye hotel.
 
Sanchez akiwa ameuteka huu uzi kwa sasa, tujipumzishe na habari nyingine.

Aston Villa are hoping to push through a loan deal for Axel Tuanzebe this week. [telegraph]
 
Sanchez: “The chance to play in this historic stadium & to work with Jose Mourinho was something I could not turn down. I am very proud to be the first Chilean player ever to play for United’s first team.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…