Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,561
- 21,511
Are they saints ???? Shouldn't they be disagreed???View attachment 681297
View attachment 681298
View attachment 681299
Hizo tweet zote wanalalamika umaliziaji mbovu wa timu yetu sio kocha nyingi mno tupo wazembe baadhi ya mechi ktk umaliziaji japo jana tulikuwa tunapambana na timu nzur kiulinzi
Ona ulivyo mshamba hata kuandika kwenyewe hujuiKwahyo unataka usaidiwe ni nini? Tafuta namna ya kupeleka maoni yako kwenye bodi sio kutujazia sever na ramli zako hizo.
HuelewaYes kwa sababu huelewa na akili za mtu zinapimwa kwa maandishi, hongera aunt
Kama hivyo ndivyo basi yawezekana sifa hiyo ukawa nayo Mara dufu.Ninashaka na utashi wa elimu yako, tangu lini ujinga ukawa na hiyo status unayotaka wewe.
Ujinga si tusi. Ujinga ni sifa.
Are they saints ???? Shouldn't they be disagreed???
You're Tank thinker give your head a chance to think.
Umesema kweli, ni muhimu sana kuwa na mchezaji mpambanaji kuliko top class lakini bishop. Wachezaji wenye roho kama ya Samwel Kuffur (yule wa Buyen miaka ya 1999), Claude Makelele, Michael Essen wachezaji wa aina hiyo, nawapenda sana.Ninachompendea Sanchez ni mpambanaji, sio bishoo kama walivyo wachezaji wetu wengi.
Umesema kweli, ni muhimu sana kuwa na mchezaji mpambanaji kuliko top class lakini bishop. Wachezaji wenye roho kama ya Samwel Kuffur (yule wa Buyen miaka ya 1999), Claude Makelele, Michael Essen wachezaji wa aina hiyo, nawapenda sana.Ninachompendea Sanchez ni mpambanaji, sio bishoo kama walivyo wachezaji wetu wengi.
Kuna jamaa amesema Mikh ni bonge la fundi ila alipunguziwa kujiamini na Mou.
Nasubiri kuona hii kauli inapigiwa mstari kwa atakachofanya akiwa huko Arsenal.
Naomba Mungu Sanchez awe yule tunayemjua asije akapewa majukumu ya beki luke Shaw!
Mkuu na martial watakuwa wakipisha hawa watu martial,sanchez na lukaku nyuma yao pogbaaahhaa! Mkwe acha hizo! Sanchez atacheza nafasi zote za Mbele kuanzia kiungo, winger, striker ili Kupima anafit wapi then anapewa majukumu anayostahili.
Kikubwa ni kwamba timu inatukuwa na balance pale Mbele na speed itaongezeka kwani Sanchez 7 ataambukiza kukiambia. Nafikiri ndiyo wakati mzuri wa kuona uzuri wa Lukaku na Pogba. I can't wait to watch this wonderful set of world class stars.
Unafahamu maana ya ujinga ??? Tangu lini ujinga ukawa ni tusi.
Pitia rules za JF uone kama ujinga ni miongoni Mwa maneno yanayoweza kumpa mtu ban.
Jamaa kazidi bana muda wote ni kuponda tu eeee kama hukubalian na kocha sepa tu mbona kuna shabik wa hii timu alitangaza hampend mou ataanza kuingia hapa siku akisepa kwa sasa anauchuna easy sasa timu ikifanya vizur anatulia ikifanya vibaya au kuelemewa anaibuka what for?Acheni majigambo basi...afu ubishani gani mpka mnaanza na kutukanana asee...just easy