Amepewa nafasi mara nyingi sana..ameshindwa kuonesha ubora..acha aondoke. Walikuwepo wengi wakashindwa ku-perform wakaondoka..waliondoka kina di-Maria. Acha aende tuu.Hii picha ya Mkhtaryan Leo mchana alipokuwa anaondoka kwenye viwanja vya mazoezi "Carrington" imeniumiza moyo sana. Ukimuangalia kwa makini jamaa machozi yanamlenga na inawezekana alilia kabisa. Hata mazoezi hakufanya nahisi kwa sababu kocha ashamtoa jamaa kwenye mipango yake. Na inasemekana jamaa anaumia sana kitendo cha Man U kum push aondoke ili aje mchezaji mwingine kiasi kwamba kumuona yeye ni nuksi Wa ucheleweshaji wa ujio Wa Alexis. Maisha yana changamoto asee!
View attachment 678249
View attachment 678250
View attachment 678251
View attachment 678252
View attachment 678253
Anatakiwa aombe radhi aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
Kocha yeyote anaetaka mafanikio lazima hali ya kibinadamu imuondoke kwenye kufanya maamuzi vinginevyo hawezi fanikiwa,kimsingi jamaa hajafit kwa mau ila ni mchezaji mzr,Sanchez is something aise mi naona ni fair tu as man utd fan.Duuuuh hii picha jamaa kama analia hivi. Utashangaaa mikosi ndy kwanza imeanza man utd tena upya. Kulazimishwa kuondoka 7bu ya mtu mwingn kuja ni kushushwa heshima. Mbn mi naona jamaa haja drop sana kivile ila muda zaid wa kucheza ungemtengeza upya!! Basi amuuze na lukaku ambaye ni mzito hadi kugeuka tu anachukua mwezi. Unaccepted to mikhi but pains to him na mimi. Sanchez anaeza asifanye lolote pale Man utd. Lets wait and see.
Jesse Rodriguez, xhaqir,Choup moting,Diof, hao sio top player?Aaaah aaaah aaaah Stock City wana Norma player while Man United tuna World Classic Player (Pogba), Top Players ( Matic,Valencia Lukaku, Martial, Herera) na Normal players wa kutosha.
Kuna tofuti kubwa sana kati ya Stock na Man Unite.
Welcome Alex Sanchez. No 7.
Duh hata Diof naye ni top player kwakoJesse Rodriguez, xhaqir,Choup moting,Diof, hao sio top player?
Kumbe martial ni top player kumbuka diof ana tuzo ya mchezaji bora africaDuh hata Diof naye ni top player kwako
Samahani mkuu hivi huyu Mame Briam Diouf wa stoke city kachukua lini tuzo ya mchezaji bora Africa?Kumbe martial ni top player kumbuka diof ana tuzo ya mchezaji bora africa
Sio mchezaji wa kwanza kuchemsha United akafanya vizuri timu nyingine Forlan,Veron,Kagawa,Di Maria,Falcao walichemsha na kocha hakuwa Mourinho na pia SAF aliwauza kina Keane,Stam,Pogba,Tevez,Nistelrooy licha ya kuwa wachezaji wazuri.Those players ni professional players wanafahamu kama hufit system ya kocha anaweza kukuuzaUkikumbuka alikuwa Top classic player duniani hivi karibuni, aliamini furaha yake ingekamilika pale Old Trafford kwa kucheza kwa heshima na kwa muda mrefu, lakini ndio hivyo ameshushwa thamani kwa kubadilishwa na mchezaji, hapewi nafasi ya kuchagua timu, kuondoka kwa Heshima, ila Kwangu Mikh atabaki kuwa mmoja ya wachezaji wazuri mno tuliowahi kuwa nao lakini tulioshindwa kutumia uwezo wao.
Jamaa ni fundi haswa, tumtakie maisha mema na yenye mafanikio huko aendako.
Unaongea upuuzSikatai na wala sipingi Mou kuendelea kuwa kocha wa Man United kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kibiashara, na ninapoongelea Soka la Kushambulia na kasi simaanishi soka la Asernal or Liverpool, naongea Falsafa, Barca wanacheza Sexy football na wana makombe ya kutosha.
Man United kwa kikosi cha Msimu huu haina sababu ya kujilinda au kucheza kwa kuhofia/kupack basi, tuna kikosi kizuri na kikubwa.
Tuna Kipa ambaye kwa sasa ndio Kipa namba moja duniani, mabeki wazoefu na wazuri, Viungo na washambuliaji wa uhakika, kinachotukwamisha ni Falsafa yetu tu.
Tunapack bus had kwa Benley? Tunafunga na timu ndogo, timu kama Crystal Palace nayo ni ya kuipakia bus.
Tuache wachezaji wafunguke, tushinde goli nyingi na soka liwe la uhakika hata hizi timu ndogo zitatuogopa kama ilivyokuwa enzi za SIR Alex.
Tulikuwa hatufungwi na timu za kijinga jinga au dro kama tunazopata sasa.
Mfumo wa kujilinda unazifanya hata timu ndogo kutudharau, soka lina kuwa sio la uhakika, ushindi unakuwa wa tabu au shida.
Wachezaji wanapoteza confidence na Radha ya Mpira, waone akina Martial, Mikh, Rashford n.k
Rashford alikuwa anakuja vizuri lakini mfumo unamfanya apoteze Confidence, akiwa timu ya taifa anakuwa tofauti na akiwa kwenye Club.
Martial amepoteza nafasi timu ya Taifa n.k
Enzi za SIR wachezaji wa timu yote walikuwa wanaitwa kwenye timu zao za Taifa.
Mbinu, Itikadi na Falsafa za Mourihno zinaenda kuua confidence na vipaji Old T tuwe wakweli.
Ni shabiki wa Man U since msimu wa 97/98.
Naijua vizuri, sawa tutachukua makombe lakini sio kwa mbinu sahihi.
Magwiji na Mafundi wa Soka wote wanamlaumu Mourihno kwa mbinu zake, tumeona kwa Scoles, Gary Nevel, Gigs na hata Sir Alex.
Ni kweli heshima yetu imerudi nje ya uwanja na si uwanjani, uwanjani bado tunasumbuliwa na timu ndogo.
Hatuna uhakika wa ushindi kwa match zaidi ya tano.
Bado tunashumbuka kupata ushindi hata kwa timu kubwa za top 4.
Martial hajawahi kutaka kuondoka United although timu nyingi sana zimekuwa zikimtaka kila wakati wa usajili hata Arsenal walitaka ajumuishwe deal la Sanchez akakataa kabisa.Kwa mfumo wa Mourinho huwezi kumweka benchi Matic ili Herrera acheze the same Mourinho aliyeua kipaji cha Herrera ndio aliyemfanya awe mchezaji bora last season hadi tukaseme apewe u-captainTatizo LA Mou ni kuwanyima Uhuru wa chezaji uwanjani. Hilo ndo limefanya wafikie pabaya na Mkhtaryan. Na kuna kipindi hata Martial alishakata tamaa akaomba kwenda sevilla kwa mkopo. Kwa kifupi some times mou huwatumia wachezaji Fulani ktk nyakati Fulani si kwa matakwa ya moyo wake Bali ni kwa sababu hakuna namna. Na anapopata suluhisho,haijalishi huyo mchezaji yupo form au la anamuweka kando kupita kiasi. Rejea Herrera msimu ulopita mpaka tukasema itabidi awe captain.
Jibu kwa hoja kiongozi wacha kutumia maneno yenye kushusha thamani ya mwenzako. Hoja VS HojaUnaongea upuuz
Hakuna top player hapo hao from hero to zero kwa umr wao walitakiwa wawe timu kubwa walizokuwa mwanzoJesse Rodriguez, xhaqir,Choup moting,Diof, hao sio top player?
Anaota huyoSamahani mkuu hivi huyu Mame Briam Diouf wa stoke city kachukua lini tuzo ya mchezaji bora Africa?