Ya ni kweli mnamashabik wengi hilo halina ubish cha ajabu club chenu 3 bora ya vilabu tajir hampo sijui mashabik gani wasio na faida hao.
Sijui....sasa unaniuliza mm ndo wao???Kwanin wako silence? Au wana njaa??
Timu iko nafasi ya ngapi?Ngoja umeme uje
Unaniuliza kwan mi ndo FA??!Timu iko nafasi ya ngapi?
We jamaa chenga sana... kweliMkuu nimeweka listi hapo juu..naomba ujitoe mapema2..
Anyway sitegemei usumbufu tena kutoka kwako coz nadhani utakuwa ushajitoa..
Si mashabiki wenzako na mko kundi moja au?Sijui....sasa unaniuliza mm ndo wao???
Man united iko nafasi ya pili. Aseno iko nafasi ya ngapi?Unaniuliza kwan mi ndo FA??!
Sasa Kama mko hiyo nafasi ndo mnalialia mnataka kombe??Man united iko nafasi ya pili. Aseno iko nafasi ya ngapi?
Usije kuta unajipendekeza humu alafu hujui kitimu chako kiko nafasi ya ngapi...
Kwan mi napajua kwao... Au mm ni mwenyekiti wa asenali kitaifa????Si mashabiki wenzako na mko kundi moja au?
Hata sijaelewa umeandika nini. Rudi shule huu ni uzi wa watu wazima na akili zao.Sasa Kama mko hiyo nafasi ndo mnalialia mnataka kombe??
Kama man u akibeba kombe bac na Chelsea,liva,toti,asenali wote tutakuwa mabingwa hivyo kombe litagawanywa Mara tano pamoja na medals pamoja na pesa ya ubingwa...
Uefa tutashiriki sote watano kama timu moja,mancity peke yake,na timu mbili zilizobaki tutazichukua kutoka kwa kina Burnley na Everton..na kama aseno akichukua uropa,tutaongeza timu moja ka soton hao uefa na pesa ya aseno ya uropa tutaigawana wote watano na kombe tutaligawana na medali tutagawana medali moja watu watano....
Kwa hiyo uefa zitaenda timu nane uropa 2 jumla kumi....
Hiyo itatokea iwapo manure atabeba ubingwa...
Pambaneni na hali zenu.Kwan mi napajua kwao... Au mm ni mwenyekiti wa asenali kitaifa????
Najua umeelewa usijifanye zuzu.....Hata sijaelewa umeandika nini. Rudi shule huu ni uzi wa watu wazima na akili zao.
We jamaa chenga sana... kwelisitakujibu tena,iyo link na huo uchafu ulioweka kwanza hiyo link yako sio credible , second ulivouweka tu Emirates juu ya Catalonia,juu ya Bernabeu juu ya ,Cardiff City,juu ya Arianz Arena,nk
nkajua tu unakula matango pori
Sasa acha nikufafanulie ulichokipost hapo ambacho ata ww uliepost hukijui au unajitoa akili tu
Hiyo ni Viwanja vinavyowabamiza mashabiki mpunga mrefu kwenye tiketi na revenues zinavyo generate....
That's why Ndugu zako wanataka Mugabe Wenger asepe coz wanapigwa sana kwenye tiketi (ghali/expensive sana kuona Arsenal game) while timu kichefu chefu.
Anyway next time ujisome somee eeh.
Alafu tutakumiss kutuchekesha chekesha
Ndio kazi yake ulitaka nani asave?Hivi kweli kipa anaokoa magoli ya wazi 7, 8, hadi 10 halafu unaishia kusema hii haimaanishi tuna beki mbovu bali tuna kipa mzuri! Hainiingii akilini.
Mngekaa humu humu kwenu mkajadili ukibonde,ukiazi na uchovu wenu,mkaacha kushàdadia thread za wengine hakika ingependeza zaidi..Pambaneni na hali zenu.
Hizo hela hapo pembeni zimewekwa za nn ww....We jamaa chenga sana... kwelisitakujibu tena,iyo link na huo uchafu ulioweka kwanza hiyo link yako sio credible , second ulivouweka tu Emirates juu ya Catalonia,juu ya Bernabeu juu ya ,Cardiff City,juu ya Arianz Arena,nk
nkajua tu unakula matango pori
Sasa acha nikufafanulie ulichokipost hapo ambacho ata ww uliepost hukijui au unajitoa akili tu
Hiyo ni Viwanja vinavyowabamiza mashabiki mpunga mrefu kwenye tiketi na revenues zinavyo generate....
That's why Ndugu zako wanataka Mugabe Wenger asepe coz wanapigwa sana kwenye tiketi (ghali/expensive sana kuona Arsenal game) while timu kichefu chefu.
Anyway next time ujisome somee eeh.
Alafu tutakumiss kutuchekesha chekesha
Mr msikwepeshe mambo nduguNlitaka kumfafanulia ndugu yangu roberto kama kiwanja chao kina mauzo ya juu ipande wa viingilio
Bro mbona unaliaKwan mi napajua kwao... Au mm ni mwenyekiti wa asenali kitaifa????