Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jose hakuwa na mpango wa kusajili mchezaji January lakini Mikhi alivyochemsha na kusikia Sanchez anapatikana ikabidi Mourinho amshawishi aje United ili amsaidie sijui plan zake za mwisho wa msimu but Mourinho bado ana power ya kuwashawishi wachezaji na klabu ina fedha.Recently United imesajili wachezaji nje ya EPL wengi wamepata taabu sana kuadapt EP (Depay,Di Maria,Mikh,Darmian,Blind,Lindelof) na kuizoea timu so ni bora kusajili mchezaji kutoka timu za EPL kuliko kama anapatikana kuliko kutoka nje ya EPL ukiacha Sanchez hata Mahrez ni winga mzuri na ana uzoefu na EPL.
Nmekupata Vema Mkuu Belo

Alexis ni bonge ya mchezaji kama atatua Utd
 
Makombe gani hayo???!!!
mwaka jana tu hio
skysports-wayne-rooney-efl-cup-manchester-united_3898690.jpg


2A343D3AD5C947618FFBF69679B92DDE.ashx


9b16b96f99468e58c822cb43ef2572c2--fa-community-shield-the-community.jpg


bado mwaka huu.
 
Imeripotiwa kuwa mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez amefikia makubaliano na Manchester United kwa ajili ya uhamisho wa Januari.
Sanchez atakuwa amemaliza mkataba wake Emirates Stadium ifikapo mwisho wa msimu huu na Arsenal wanaaminika kuwa tayari kumuuza mchezaji huyo wa kimataifa wa Chile mwezi huu, hata kama ni kumuuza kwa washindani wao wa ligi.
Manchester City imekuwa timu inayopewa nafasi kwa muda mrefu kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 na kulikuwa na makubaliano baina yao majira ya joto kabla ya Arsenal kugeuza kibao, lakini United wameibuka kuwa mstari wa mbele kwa sasa.

Taarifa nyingi kwenye Twitter zimedai kuwa mchakato huo umeshakamilika, United wakita tayari kumlipa Sanchez £350,000 kwa wiki pamoja na adau ya uhamisho ya £30m.
Bosi wa Arsenal, Arsene Wenger amebainisha kuwa mustakabaliwa Sanchez utafahamika ndani ya saa 48, ingawa hakuna tamko rasmi kutoka kwa klabu yoyote baina ya hizo mbili.
Sanchez alijiunga na Arsenal 2014 na amefunga mabao 80 katika mechi 165 kwa klabu hiyo.
 
Hivi ni official jamaa amesign?
bado sio official. na inawezekana hata asije.

city walikuwa wanatingisha kiberiti na walikuwa wanawaforce Arsenal na Agent wa sanchez kwa terms zao.

Man u kaingia kati kakubali hela anayotaka arsenal na atalipa mshahara wa sanchez anaoutaka.

tetesi za mchana huu pep, soriano na txiki wana kikao huwenda na wao wakaongeza dau na kumchukua.

maana pep na aguero haziendi na jesus ameumia wapo hali mbaya na wao.
 
Back
Top Bottom