NaaminSanchez, RVP, wenger bila shaka ni shabiki wa chama letu!
Paulo Dyabala vipi Mkuu??Advantage ya Sanchez ni kwamba anaweza kucheza nafasi nyingi za ushambualiaji (left wing,right wing & striker) na ni mfungaji mzuri ,baada ya kuumia last season Zlatan hawezi kurudi kwenye form yake so automatically kuna game Sanchez atacheza kama striker.Kwa mtazamo wangu Sanchez ni better option ukilinganisha na target nyingine Bale au Griezmann
Huyu Di Marzio huwa hakosei kwenye taarifa za Man U, trust me!!!
Vipi kuhusu ozil mkuu, mimi naona ozil is the best!Advantage ya Sanchez ni kwamba anaweza kucheza nafasi nyingi za ushambualiaji (left wing,right wing & striker) na ni mfungaji mzuri ,baada ya kuumia last season Zlatan hawezi kurudi kwenye form yake so automatically kuna game Sanchez atacheza kama striker.Kwa mtazamo wangu Sanchez ni better option ukilinganisha na target nyingine Bale au Griezmann
Walewale2 hata mumsajili naniSign Sanchez bila kumuacha Lucas Moura anayepatikana kwa bei ya kutupwa hakika itapendeza na tutatisha sana!
kwan mlishasajili wangapi??
Acha kukurupukia wachezaji wa watu ww.....Vipi kuhusu ozil mkuu, mimi naona ozil is the best!
Jose hakuwa na mpango wa kusajili mchezaji January lakini Mikhi alivyochemsha na kusikia Sanchez anapatikana ikabidi Mourinho amshawishi aje United ili amsaidie sijui plan zake za mwisho wa msimu but Mourinho bado ana power ya kuwashawishi wachezaji na klabu ina fedha.Recently United imesajili wachezaji nje ya EPL wengi wamepata taabu sana kuadapt EP (Depay,Di Maria,Mikh,Darmian,Blind,Lindelof) na kuizoea timu so ni bora kusajili mchezaji kutoka timu za EPL kuliko kama anapatikana kuliko kutoka nje ya EPL ukiacha Sanchez hata Mahrez ni winga mzuri na ana uzoefu na EPL.Paulo Dyabala vipi Mkuu??
Namwelewa sana Jamaa
Iwapo Alexis atakuja,, je Kuna haja ya kumnyatia tena Mesut Ozil??
Nani hasa anapaswa kuja ili tupate ubora wa Double P??
Paul Pogba namuelewa toka akiwa kijana mdogo..
Yule Verrati,, ama Savic au Sauli wanatufaa sana shida upatikanaji wao..
Sisi tuna pesa na tunashiriki UEFA, tunayemtaka anakuja...Acha kukurupukia wachezaji wa watu ww.....
Ozil hatma yake ni mwisho wa msimu na huenda akaondoka bure kama hataongeza mkataba,Sanchez anaondoka hii JanuaryVipi kuhusu ozil mkuu, mimi naona ozil is the best!