Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Next season..,..contract inaisha..Huyo mnaye msimu unaokuja. Kama ndoa ya kikristo
Next season..,..contract inaisha..Huyo mnaye msimu unaokuja. Kama ndoa ya kikristo
Sikujua. Kumbe mlimuongezea misimu 2?Next season..,..contract inaisha..
Ndo ujue leo!!!Sikujua. Kumbe mlimuongezea misimu 2?
Wenger is arsenal and arsenal is wengerNdo ujue leo!!!
So what????Wenger is arsenal and arsenal is wenger
So what????
Fuatilia li-mufc lako....he is there to stay
Watanii mpoooo
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho ameitaka klabu yake kumsajili N’Golo Kante kama wanataka abakie Old Trafford. (Don Balon)
Duuh!!!! Hadi mkubwa fela analinga!!!!!! Bac hakuna timu hapaTetesi
Fellaini anataka kuondoka Man United
Marouane Fellaini amemwambia Jose Mourinho kwamba havutiwi kuendelea kubaki Manchester United, kwa mujibu wa Sun.
Kiungo huyo wa Kibelgiji, ambaye amekuwa akisumbuliwa na majeraha msimu huu, anamaliza mkataba wake majira ya joto.
Baada ya kukataa mkataba mpya mwezi Septemba amekataa kwa nguvu zote kushawishiwa na Mourinho kusaini mkataba mpya.

Wababe wa nani?????? We unaumwa nn?????Timu ya daraja la chini Yeovil Town imepangwa na Manchester United kwenye raundi ya 4 ya kombe la FA
Timu hiyo ambayo ipo daraja la pili ilifanikiwa kuiondoa klabu ya Bradford City kwa magoli 2-0 wikendi iliyopita na sasa watawakaribisha United kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Huish Park mwishoni mwa mwezi huu
Pia klabu nyingine ya daraja la chini ya Newport Country, ambao waliwaondoa Leeds United nao watavaana dhidi ya Tottenham mechi ambayo inatarajiwa kufanyika nyumbani kwa Newport
Aidha Liverpool nayo imepangwa na West Bromwich Albion mechi itakayo pigwa kwenye dimba la Anfield, wakati Chelsea ambaye bado ana mchezo wa marudiano dhidi ya Norwich, anatarajiwa kukutana na Newcastle endapo atashinda mechi ya marudiano
Vinara wa msimamo wa Ligi Kuu Manchester City wao wana msubiri mmoja wapo kati ya Cardiff City au Mansfield Town, huku wababe wa Arsenal klabu ya Nottingham Forest watavaana na Hull City
Wababe wa nani?????? We unaumwa nn?????
Duuh!!!! Hadi mkubwa fela analinga!!!!!! Bac hakuna timu hapa![]()
![]()
![]()
![]()
Duuh!!!! Hadi mkubwa fela analinga!!!!!! Bac hakuna timu hapa![]()
![]()
![]()
![]()
Mnampenda sana sahivi.....halafu mnamlazimisha Asaini,sijui unaongea nn wwAnajua umr ushaenda msimu ujao kupata namba itakuwa kazi atafute chake mapema halafu sio mchezaj anaependwa
Hawatak aondoke bure ndo mana wanataka wampe mkataba wa mwaka mmoja ukiangalia mkataba wake ni wa mwaka mmoja mmojaMnampenda sana sahivi.....halafu mnamlazimisha Asaini,sijui unaongea nn ww
Wenger kaingiaje hapa..Hawatak aondoke bure ndo mana wanataka wampe mkataba wa mwaka mmoja ukiangalia mkataba wake ni wa mwaka mmoja mmoja
Ila wenger yy yupo tayar kutoa sadaka kama kwa sanchez na ozil