Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
SwadaktaMkuu tuache. Time will tell. Kesho si mbali
Ndo utamuelewa Wenger ni nanUzitoea wapi
Mkuu, si ya kushangaa hayo... Mashabiki wa arsenal si unawajua kwa kujipa mataji na ushindi ulokuwa si wao. Hao jamaa subiri next season ianze, watakwambia walikuwa kwenye champions league 2017-2018 season 😀Jamani Mimi @King_Ngwaba Niambieni Ninaishi Sayari Gani???
Manake Katika Sayari ya Earth (Dunia) Sitegemei Kama Naweza Sikia Vituko Kama Hivi!!!
ههههههههههههههه
Mkuu twende jukwaa letu la DLS 2017...Vi4g vimekauka
Mourinho aliongeza pia kwamba iwapo Scholes atakuwa meneja siku moja, "ningependa sana awe na ufanisi angalau 25% ya ufanisi wangu."
Acha roho mbaya na Lukaku, game 10 za mwanzo mbona hukuongea hizo pumbaBado kuna watu watakwambia kuwa hatuna wachezaji ambao watawezesha united kucheza mpira mzuri..jana naamini mmeona tulivokuwa tunacheza kama timu inayojielewa..tunaitaji wachezaji wachache tu kusajiliwa ili kuboresha kikosi chetu..na wachache kuondoka kwenda kutafuta nafasi sehemu nyingine(blind,darmian,zlatan na mikhitaryan)
Lukaku ndo anayefanya tucheze mpira kama watu tusiokuwa na uwezo kwa kuwa akiwepo uwanjani yeye ndo anakuwa target,kross za ajabu ajabu na pia hata akipata mpira akiwa katikati first touch zake ni za ovyo ovyo.
We must try martial upfront,kwa sababu timu inacheza kwa kutokuwa na focal point,kitu kinachofanya kutokuzoeleka wakati wa kuattack kwani wale front three wanakuwa wanainterchange..naamini mliona mipira ilivokuwa inatembea vizuri,no hoofball anymore,na mipira ya juu na mirefu kulikuwa hamna kabisa.
Naamini ili pogba awe katika ubora wake ni lazima awe na jukumu kubwa tu la kuattack,na solution ni kucheza na three midfielders..kama kuna holding midfielder mwingine mzuri sokoni inabidi asajiliwe acheze na matic huku pogba akiwa free kufanya yake akitoke left side..hata gemu za mwanzo ambazo pogba alifanya vizuri,ilikuwa ni baada ya fellaini kuwa ameingia akicheza na matic..kiungo kama granit xhaka wa arsenal ni mzuri sana eneo hili..
Lingard is our best attacking player so far..ana football brain.
Nitashangaa sana mourinho akirudi kwenye fomesheni yake ya 4-2-3-1 ili aweze kumaccomodate lukaku..Mi naona ni vizuri tucheze 4-3-3..baadhi ya gemu lukaku aanzie benchi huku martial akianza upfront..mtu gani hawekwi benchi bana..
De gea
Lindelof rojo jones shaw
Herrera matic pogba
Mata martial Lingard
Hii ni kwa kipindi hiki cha injuries..
De gea
Valencia BaillyJonesShaw
Herrera Matic Pogba
Mata RL/Martial lingard
Hii ni tukiwa hatuna injuries..
Plastic fan huyo achana nae mimi huwa naamini kama Pogboom akicheza kama free prayer kwenye DM wakikaa Matic na Herrera basi Lukaku atafunga sana. Lukaku mfumo ulikua unamtesa sana muda mwingine inapgwa counter attack anakimbia kutafuta position akifika anakua hoi bin taabani lakini anajituma hachoki kabisa mbona Lacazett hajafunga kitambo na wale mashabiki wenye presha hawasemi (aseno fans) kazi kuja huku kumkaba koo Lukaku. Kama kweli wewe mshabiki wa manchester united na unaangalia games tulizocheza msimu huu pasi na shaka utakubaliana nami kwamba Lukaku ana umuhimu wake kabisa. Huku Lingardinho, hapa Pogba, pale Mata, kati herment (her+mat), nguzo tatu Jini De gea huku Shaw kwenye ubora wake na Rojo akisawazisha mambo kwanini mambo yasiwe sawia tuwe na subira kama mashabiki wa liverpoolAcha roho mbaya na Lukaku, game 10 za mwanzo mbona hukuongea hizo pumba
Acha mambo ya kishamba mkuu..Plastic fan!!!...kwahiyo unajiona wewe ndo shabiki bora wa united kuliko wengine,mi nimefanya analysis yangu kwa mawazo yangu,mambo ya kuniita plastic fan ni ya kishamba...Plastic fan huyo achana nae mimi huwa naamini kama Pogboom akicheza kama free prayer kwenye DM wakikaa Matic na Herrera basi Lukaku atafunga sana. Lukaku mfumo ulikua unamtesa sana muda mwingine inapgwa counter attack anakimbia kutafuta position akifika anakua hoi bin taabani lakini anajituma hachoki kabisa mbona Lacazett hajafunga kitambo na wale mashabiki wenye presha hawasemi (aseno fans) kazi kuja huku kumkaba koo Lukaku. Kama kweli wewe mshabiki wa manchester united na unaangalia games tulizocheza msimu huu pasi na shaka utakubaliana nami kwamba Lukaku ana umuhimu wake kabisa. Huku Lingardinho, hapa Pogba, pale Mata, kati herment (her+mat), nguzo tatu Jini De gea huku Shaw kwenye ubora wake na Rojo akisawazisha mambo kwanini mambo yasiwe sawia tuwe na subira kama mashabiki wa liverpoolsie tumekosa Epl miaka kadhaa ina makwapa mengine tunayo wenzetu hata Vikombe vya mbuzi vya kuhesabu.
#GGMU#
Lile jukwaa lina stress sana unaweza jikuta unatuka mtu ukaishia kulamba ban! nimepigwa ban karibu mara tatu na zote nimezitolea huko!Mishemishe za jukwaa la siasa.
Karibu sana JF! Naona umejiunga jana leo unaanza kutukana wakubwa zako!!Man u timu ya kichovu cjawahi ona!!!!!
ukitoa mechi kubwa, mechi ndogo lukaku zote anacheza vizuri, hadi ambazo hatujashinda. na zile mechi ngumu tunazocheza na timu ngumu ndogo lukaku ndio anatuokoa, refer mechi ya southampton, west brom, etc kigoli kimoja cha kichwa mechi inaisha.Plastic fan huyo achana nae mimi huwa naamini kama Pogboom akicheza kama free prayer kwenye DM wakikaa Matic na Herrera basi Lukaku atafunga sana. Lukaku mfumo ulikua unamtesa sana muda mwingine inapgwa counter attack anakimbia kutafuta position akifika anakua hoi bin taabani lakini anajituma hachoki kabisa mbona Lacazett hajafunga kitambo na wale mashabiki wenye presha hawasemi (aseno fans) kazi kuja huku kumkaba koo Lukaku. Kama kweli wewe mshabiki wa manchester united na unaangalia games tulizocheza msimu huu pasi na shaka utakubaliana nami kwamba Lukaku ana umuhimu wake kabisa. Huku Lingardinho, hapa Pogba, pale Mata, kati herment (her+mat), nguzo tatu Jini De gea huku Shaw kwenye ubora wake na Rojo akisawazisha mambo kwanini mambo yasiwe sawia tuwe na subira kama mashabiki wa liverpoolsie tumekosa Epl miaka kadhaa ina makwapa mengine tunayo wenzetu hata Vikombe vya mbuzi vya kuhesabu.
#GGMU#
Nan mgeni hapa....????Karinu sana JF! Naona umejiunga jana leo unaanza kutukana wakubwa zako!!
Alafu hapo kwenye red, andika "sijawahi" na sio "cjawahi" sawa?
Anajijua yeye mwenyewe wala usihofu.Nan mgeni hapa....????
Mi na ww tunajuana ama.....???Anajijua yeye mwenyewe wala usihofu.
Sawa kiongozi ubarikiwe sanaAcha mambo ya kishamba mkuu..Plastic fan!!!...kwahiyo unajiona wewe ndo shabiki bora wa united kuliko wengine,mi nimefanya analysis yangu kwa mawazo yangu,mambo ya kuniita plastic fan ni ya kishamba...
Kweli kabisa Lukaku anapiga sana kazi pale mbeleukitoa mechi kubwa, mechi ndogo lukaku zote anacheza vizuri, hadi ambazo hatujashinda. na zile mechi ngumu tunazocheza na timu ngumu ndogo lukaku ndio anatuokoa, refer mechi ya southampton, west brom, etc kigoli kimoja cha kichwa mechi inaisha.
kuna watu walifurahi lukaku kuumia, ila naamini mechi ya southampton marudio angekuepo lukaku matokeo yasingekuwa vile, kifupi mechi ndogo lukaku akiwa ndani kwenye ligi hatutoki kapa bila kufunga goli, kwa mara ya kwanza tumetoka kapa alivyoumia yeye.
hata jana tumeshinda ila unaona kabisa pengo lake, hakuna mishe mishe ndani ya box, ikabidi man U watumie Plan B kupiga mashuti ya mbali, zaidi ya nusu ya attempts za jana ni nje ya box, na magoli yote mawili yametoka huko.
Lile jukwaa lina stress sana unaweza jikuta unatuka mtu ukaishia kulamba ban! nimepigwa ban karibu mara tatu na zote nimezitolea huko!