Manchester United (Red Devils) | Special Thread

League ndio imeanza hivyo..Viva stoke!
Acheni kuwa wasahaulifu nyie mliposhinda mechi ya Swansea mlisema ligi imeenza next mechi na blackburn mkakalia vinne, leo tena mmeona mwezi kwa Bolton 10 men mmeanza kelele na kusahau kuwa next mechi mnakutana na Spurs. Na bila kusahau hao stoke anaowashangilia watakuja wafanya kitu mbaya na beki yenu ya kuunga na mnyaa
 
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeChacha nani Ooops Nani ataanza inquest ya mashoga .. ... ... ..The first point since 2008 when promoted to EPL from Manure
Tukumbushe basi wamepata point 3 mara ngapi toka kwenu Ase8
 
Sir Alex Ferguson said his side played like "real champions" in the 1-1 draw at Stoke City on Saturday.
 
sijacheki game but nasikia Rooney hakucheza ... ndio maana mmeambulia point!... watani jamaa akiwa injured muda mrefu pengo lake litakuwa kubwa sana... maana game la jana ilidhihirisha man utd ni 1 man team
 
Baada ya kushinda mechi za kwanza mliona league rahisi sana! Mlikuwa mnaona kwamba hamna timu ya kuwazuia..naona mmeangukia pua kwa Stoke. Shukuruni sana kwa kuambulia hiyo draw.
Sisi tunakubali kuanza league vibaya..but we are improving game after game. Red card ni part ya mchezo..
 
Sir Alex Ferguson said his side played like "real champions" in the 1-1 draw at Stoke City on Saturday.

Tatizo SAF aligamble katika mechi hiyo..angeweka full squad..alijua kabisa kwamba Britannia ni pagumu..FC Basel si wakuwaogopa kihivyo..angeweka full jeshi...maximum points per game katika season hii ni muhimu sana....anyway..tugange yajayo.
 
Tatizo sio kuwaogopa FC Basel, ishu ni kwamba wachezaji watachoka wakicheza mechi nyingi mfululizo. Huwezi cheza kila baada ya siku 3 au 2 kwa kiwango cha juu so ni lazima baadhi wapumzike. Kwa jana tatizo ni pale alipoumia Chicharito babu hakutakiwa kumuingiza owen koz stoke wanapiga sana buti na owen ni muoga kuumia. Pia Park anafaa sana kucheza mechi zenye vurugu kama ya jana so kukosekana kwake pia lilikuwa ni pengo kubwa
 
Itabidi tukupe kazi ya kuikoch Man Utd. Unaonekana una mbinu nyingi sana kuliko Fergie
 
Reactions: SG8
Sijui lini mtakuja jua mpira for Man Utd ligi tunaanza rasmi mid november, hizi goli 8, 5, sijui 3 tanazowapiga sasa hivi ni rasharasha tu.
 
Itabidi tukupe kazi ya kuikoch Man Utd. Unaonekana una mbinu nyingi sana kuliko Fergie
Kwa taarifa yako moja ya vitu vinavywaangusha arse8 ni kuwachezesha first 11 players mechi nyingi bila kuwapumzisha. Ni lazima kocha awe tayari kurisk some games for future plans. Sio kila mechi wachezaji walewale FA, Carling, EPL na UEFA.
 
Sijui lini mtakuja jua mpira for Man Utd ligi tunaanza rasmi mid november, hizi goli 8, 5, sijui 3 tanazowapiga sasa hivi ni rasharasha tu.
Huwa mnaanza league vibaya..mnaibuka dec. This year mmeanza vizuri..so itakuwa tofaut na miaka mingine! Usizoee kukariri
 
sijacheki game but nasikia Rooney hakucheza ... ndio maana mmeambulia point!... watani jamaa akiwa injured muda mrefu pengo lake litakuwa kubwa sana... maana game la jana ilidhihirisha man utd ni 1 man team

Mechi moja tu mkuu umeshatoa conclussion!!!
 
Huwa mnaanza league vibaya..mnaibuka dec. This year mmeanza vizuri..so itakuwa tofaut na miaka mingine! Usizoee kukariri

Wewe ndo umekariri kwa kuwa tumeanza vizuri itakua tofauti, nakuhakikishia kuwa this season ubingwa mapeema mana timu nyingine zimejichokea tu
 
Wewe ndo umekariri kwa kuwa tumeanza vizuri itakua tofauti, nakuhakikishia kuwa this season ubingwa mapeema mana timu nyingine zimejichokea tu

Save ur energy...awa Arse8 wanamatatizo makubwaaaa...ata hawaelem...
BTW to prove tht we are champions ona walivoshangilia hyo drooo! lmao!
 
Kwa taarifa yako moja ya vitu vinavywaangusha arse8 ni kuwachezesha first 11 players mechi nyingi bila kuwapumzisha. Ni lazima kocha awe tayari kurisk some games for future plans. Sio kila mechi wachezaji walewale FA, Carling, EPL na UEFA.
List ya jana hii hapa
[TABLE="class: mod-data"]
[TR="class: odd"]
[TD] 1 David De Gea
[/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD][/TD]
[TD]4 Phil Jones
[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD][/TD]
[TD]5 Rio Ferdinand[/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD][/TD]
[TD]3 Patrice Evra[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD][/TD]
[TD]25 Antonio Valencia[/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD][/TD]
[TD]8 Anderson[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD][/TD]
[TD]24 Darren Fletcher[/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD][/TD]
[TD]18 Ashley Young
[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD][/TD]
[TD]17 Nani[/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD][/TD]
[TD]9 Dimitar Berbatov[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD][/TD]
[TD]14 Javier Hernández[/TD]
[/TR]
[TR="class: colhead"]
[TD="colspan: 2"]Substitutes
[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD][/TD]
[TD]Michael Owen 7[/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD][/TD]
[TD]Ryan Giggs 11[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD][/TD]
[TD]Park Ji-Sung 13[/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD][/TD]
[TD]Anders Lindegaard 34[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD][/TD]
[TD]Danny Welbeck 19[/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD][/TD]
[TD]Fabio 20[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD][/TD]
[TD]Federico Macheda 27[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Asipokuwepo Rooney tu basi inakuwa sio first eleven!!!????
 
Mnang'ang'ania watu 11 dhidi ya 10,mnataka kila siku redcards ziwe kwetu tu,ukitumia logic hiyo hata barca wenyewe bila arsenal kusalia 10 ndani huwa wanapata taabu sana.
 
Nawahurumia wikiend imefika muendelee kupata kipigo

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nasikia Farisayo ooops Mfarisayo anaumwa na tumbo la kuharisha khe khe kheeeeeeeeeeeee
 
Nani will never match Ronaldo! Hiyo comparison yako imekosa kitu muhimu sana, UMRI. Imemchukua Nani muda mrefu zaidi kufikia hizo mechi 100 kuliko Ronaldo. Kwa maana nyingine ni kwamba Nani amefikia mechi 100 akiwa tayari ana miaka 24 wakati Ronaldo amefikisha hizo mechi akiwa mdogo zaidi. Katika umri wa miaka 23 Ronaldo alishakuwa mchezaji bora bora wa dunia pamoja na individual awards nyingine kibao, wakati Nani has got nothing individually katika umri wake wa miaka 24.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…