Hukuona Bunley walivyokuwa wanapoteza muda hadi wawili wakapewa kadi?
Hukuona head injury wachezaji wawili?
Hukuona substitution ngapi zimefanyika?
Btw Man Utd wamefunga dk ya 90.
Wamesawazisha na sio wamefunga
Vilevile muda wa substitution huwa hauongezwagi kwenye mda wa majeruhi
Dakika 5 waliongeza kuipanafasi kubwa Mau kusawazisha na kushinda game maana walikuwa na moto dakika za mwisho
 
Aisee yani acha tu imani na mou inazidi kupotea naona kabisa January ikiisha tukiwa tumetoka pale juu..
Nauliza tena hii timu inaendaga training kweli?? Mara ya ngapi tunafungwa na set pieces mou haoni hili tatizo??
 
Hapa Mourinho ndiyo anatuonesha Nini?? Kusema ikisha akameza Maneno Yake Ni jambo la kawaida Kwake!!

Makocha Wanapolalamikia injury asiwaone Wajinga na Kujiona Yeye Mwerevu pale Yanapokuwa Hayajamfika.
Nakumbushia tu nilichokiandika asubuhi ya Leo....

Leo tupo na Burnley ,Old Trafford. Napata mashaka kutokana na aina ya uchezaji ya Manchester ( Kujihami), kila mechi kwa Manchester united itakuwa ngumu haijalishi ni Old Trafford au Ugenini. Kila timu inajua sisi ni wa kujihami. Sioni mechi nyepesi kwa Manchester united.

Kama kocha hata badilisha aina ya uchezajiz kutoka kulinda zaidi mpaka kuwa team ya kushambulia zaidi, mafanikio ya timu yetu kupatikana yatakuwa magumu sana.
 
Leteni updates plus team news achaneni na haters tuliteteleka ila leo tunatoa kipigo cha mbwa mwizi. Sisi 4 wao 0

#GGMU#

Mkuu Nakukumbusha Tu Kuwa Usiangalie Matokeo Yaliyopita Kama Ni Reference Ya Yanayokuja.

Mpira si utabiri Bali Ni Chemistry with Philosophy.
 
Leteni updates plus team news achaneni na haters tuliteteleka ila leo tunatoa kipigo cha mbwa mwizi. Sisi 4 wao 0

#GGMU#
Kiongozi...
Nafikiri ulikua unaota...
Amka sasa usije ukajikojolea usingizini..!
Ahahaaaaaaaaaaah...
Mwaka huu umekua mtamu sana,nafikiri mwendo huu tutaenda nao hadi 2018..!
 
Wakui inafika kipindi kumtetea Mou kunapungua kama hiv...Mou na tactics zake alikuwa bora zamani sio enzi hizi....kuna wadau huko wanasema Ferhie arudi but sio rahisi hii timu angeachiwaga giggs tu wakuu au simeone
 
Wamesawazisha na sio wamefunga
Vilevile muda wa substitution huwa hauongezwagi kwenye mda wa majeruhi
Dakika 5 waliongeza kuipanafasi kubwa Mau kusawazisha na kushinda game maana walikuwa na moto dakika za mwisho
Mimi huwa ninashangaa kusema eti waliongezewa kwani walkua wanacheza wenyewe?
Punguza ushabiki uchwara

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Aisee yani acha tu imani na mou inazidi kupotea naona kabisa January ikiisha tukiwa tumetoka pale juu..
Nauliza tena hii timu inaendaga training kweli?? Mara ya ngapi tunafungwa na set pieces mou haoni hili tatizo??
Kimsingi wachezaji hawajui wanapigania nini so far.
Bora hata msimu ulopita tulijikita kwenye europa sahivi hakuna hopes kwa kocha wala wachezaji

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom