Wakuu hii mechi nimeikuta katikati. Sasa kuna Ibra,Lukaku na Rashford formation gani inachezwa leo? Ibra needs service,Lukaku needs service hata Rashford anahitaji apasiwe afunge sasa hii mizigo mitatu kweli kuna balance?

Pamoja na hali ngumu iliyopo (majeruhi wengi, Mou kubaniwa mkataba, kutoa draw mechi ya ushindi wa wazi last week) lakini Leo Burnley lazima wakae, lazima wapigwe vizuri. All the best MUFC.