Weweee huyo kocha wako ni mpumbaf...Mata yuko kwenye kiwango hivyo unamtoaje? Lingard yuko juu unamtoaje?Huwezi kumlaumu kocha hii game Martial,Lingard,Rashford wamekosa magoli ya wazi.Lini umeona City wanakosa nafasi kama hizi?
Leo lukaku hajalaumiwa.Lukaku leo kawatengenezea nafasi mbili lakini wao kumtengenezea hakuna Mourinho tafuta wachezaji wanaofanana na Maselo au Hazard na Sanchez ili tumlaumu vizuri Lukaku
Hahaha ngoja nikawastue twitter huko watufanyie wepesi.
Kwanini glazer asiandike ujumbe kama ule wa Mo dewj
Wachezaji wanapokosa magoli ya wazi kama yale kocha anatakiwa afanye nini ?
Weweee huyo kocha wako ni mpumbaf...Mata yuko kwenye kiwango hivyo unamtoaje? Lingard yuko juu unamtoaje?
Dah! Aisee, hata kama unachuki na Mikhi, lakini mzee acha fiksi!! Yaani Mikhi hajawahi kuwa kwenye lineup ya United iliyoshinda game hata moja?!?Huyu ndio takataka kabisa..hajawahi kucheza tukashinda.
AwauzeWachezaji wanapokosa magoli ya wazi kama yale kocha anatakiwa afanye nini ?
Kumbe umeliona hilo?? Sasa pale ilikua counter attack kapewa pasi akasimama anarudisha mpira nyuma. Yani dah leo nimeumia sana hii game watu 10 kweli halikuonekana hata pengo..Nilijua tu chelsea akipotea na mourinho anapotea hapa tukutane mwakani timu kiuhalisia waonatakiwa kuivaa jezi ni wawili tu de gea na matic wengine wanacheza kama wanalazimishwa tu
Rashford kavimba kichwa sana viingereza shida sana
Hebu tumuweke Mou pembeni, tuangalie magoli waliyokosa wachezaji wenyewe maanake Mou hawezi kuingia uwanjani kufunga.
Nilijua tu chelsea akipotea na mourinho anapotea hapa tukutane mwakani timu kiuhalisia waonatakiwa kuivaa jezi ni wawili tu de gea na matic wengine wanacheza kama wanalazimishwa tu
Rashford kavimba kichwa sana viingereza shida sana
Hao wachezaji uliowataja wakiwa chini ya Mou huonekana si kitu.. Yeye anatazama mwili na minguvu tu!Lukaku leo kawatengenezea nafasi mbili lakini wao kumtengenezea hakuna Mourinho tafuta wachezaji wanaofanana na Maselo au Hazard na Sanchez ili tumlaumu vizuri Lukaku
Hili la kwapa likitokea ndo dunia inaweza kuwa imefika mwisho,kwa mpira huu hamna hicho kitu.Acha niseme kidogo.......wengi mnamtupia lawama kocha wetu mpaki basi maarufu mjini manchester lakini mimi kama mshabiki wa manchester united naona tatizo lipo kwa wachezaji sana kuliko kocha. Wachezaji wapo wapo tu hawajitumi yaani kifupi kama giggs alivyosema jana kama sio juzi timu hii wachezaji hawana morale ya ushindi ile damu ya kucheza kufa na kupona ukivaa jezi yenye nembo ya manchester united vijana wetu wa sasa pale hawana kabisa na kama wapo wakuhesabika sana, damu ya manchester ni ipi? Waliongalia na wanaongaliaga mechi za everton atakubaliana nami Keane anacheza mpira wa damu damu yaani ana roho bado ya ki- OT kabisaa. Wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani ndo maana hata mbinu mbadala za kocha huwezi kuona zikifanikiwa maana viwango duni sana tena sana. Kocha nae anamapungufu yake hilo liko wazi sana na mfumo wake wa kutoa mataili ya skania wakati safari bado ndefu tena unaeshindana nae kala umeme. NITAENDELEA KUSHABIKIA MANCHESTER MPAKA KIELEWEKE NA MOYO UNANAMBIA KABISA KWAPA MOJA LAZIMA MSIMU HUU PASI NA SHAKA
NB: TUWE NA SUBIRA
#GGMU#
Ukumbuke wakati Smalling anaumia, sub zilikuwa zimeisha. Maana waliingizwa sub wachezaji watatu(Rashford, Mikky pamoja na Herera).Herrera alikuwa anaenda wapi mkuu? Smaling kaumia rojo yupo bench anazuia had watu 10 leo kaniacha hoi mno!!!!? Ukiangalia goli la kusawazisha smalling kashindwa kuruka yy ndo mtu w mwisho tayar alishaumia
Hapa mourinho kachemka leo tukubali leicester walishakufa mapema nkajua akimtoa lingard ataingia mkhitaryan looo kamtia mkabaj
Nani anapaswa kuweka morali kwa wachezaji ???Acha niseme kidogo.......wengi mnamtupia lawama kocha wetu mpaki basi maarufu mjini manchester lakini mimi kama mshabiki wa manchester united naona tatizo lipo kwa wachezaji sana kuliko kocha. Wachezaji wapo wapo tu hawajitumi yaani kifupi kama giggs alivyosema jana kama sio juzi timu hii wachezaji hawana morale ya ushindi ile damu ya kucheza kufa na kupona ukivaa jezi yenye nembo ya manchester united vijana wetu wa sasa pale hawana kabisa na kama wapo wakuhesabika sana, damu ya manchester ni ipi? Waliongalia na wanaongaliaga mechi za everton atakubaliana nami Keane anacheza mpira wa damu damu yaani ana roho bado ya ki- OT kabisaa. Wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani ndo maana hata mbinu mbadala za kocha huwezi kuona zikifanikiwa maana viwango duni sana tena sana. Kocha nae anamapungufu yake hilo liko wazi sana na mfumo wake wa kutoa mataili ya skania wakati safari bado ndefu tena unaeshindana nae kala umeme. NITAENDELEA KUSHABIKIA MANCHESTER MPAKA KIELEWEKE NA MOYO UNANAMBIA KABISA KWAPA MOJA LAZIMA MSIMU HUU PASI NA SHAKA
NB: TUWE NA SUBIRA
#GGMU#
Time is the best refereeHili la kwapa likitokea ndo dunia inaweza kuwa imefika mwisho,kwa mpira huu hamna hicho kitu.
Ni mechi ngapi umeshinda goli tano msimu huu, au unadhani hayo ni maandazi.
Acheni mpira na matokeo ya mdomoni huo ndio uwezo Wetu ....
Utakuwa ni football elite Wa kwanza duniani kutrnganisha performance ya team na uwezo Wa kocha.....
Amini nakwambia Mourinho Poor tactics ndio Adui namba moja Wa Manchester kufanya vibaya msimu huu... Kacheki Game ya uefa tuliyofungwa, team inapack basi mno.
Njoo kwenye game ya Bristol city same tactics.
Bado hatujapata coach Mwenye kuingia kwenye DNA ya Manchester united...
Kwa mwendo huu ninaanza kuona dalili wakina Glazer watakuja kufanya "maamuzi magumu"
Ni mechi ngapi umeshinda goli tano msimu huu, au unadhani hayo ni maandazi.
Acheni mpira na matokeo ya mdomoni huo ndio uwezo Wetu ....
Utakuwa ni football elite Wa kwanza duniani kutrnganisha performance ya team na uwezo Wa kocha.....
Amini nakwambia Mourinho Poor tactics ndio Adui namba moja Wa Manchester kufanya vibaya msimu huu... Kacheki Game ya uefa tuliyofungwa, team inapack basi mno.
Njoo kwenye game ya Bristol city same tactics.
Bado hatujapata coach Mwenye kuingia kwenye DNA ya Manchester united...
Kwa mwendo huu ninaanza kuona dalili wakina Glazer watakuja kufanya "maamuzi magumu"
1. Wachezaji wenyeweNani anapaswa kuweka morali kwa wachezaji ???
Tuanzie hapo kwanza