Watu wanamlaumu sana kocha but wachezaji wengi wanacheza chini ya kiwango na wanacheza wameridhika kuvaa jezi ya Manchester United lakini wanashindwa kuipigania
Watu wanamlaumu sana kocha but wachezaji wengi wanacheza chini ya kiwango na wanacheza wameridhika kuvaa jezi ya Manchester United lakini wanashindwa kuipigania
Nani anapaswa kuwafanya wachezaji wacheze kwa morali ???? Acheni kumkimbiza Mwalimu kwenye allegations zake....
Mourinho ni Kanjanja anapokutana na upstair coaches, kwa mbinu zake sioni kama atampiku Guardiola.... Haiwezekani Uko mbele 2-1 na advantage ya red card unashindwa kumaliza game.