mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
Kama ntakuwa sikosei, hata Man city wamefungwa magoli 7 wakiwa kwao, lakini ni big threat in his home turf than Man utd. A threat comes when you play attacking football. Arsenal was a threat when they play United, we were opportunists. Shots 33 arsenal wamepata kwa 8 za MU....
Ndio maana nakwambia Timu nyengine zikija Trafford zinaamini zinauwezo wa kupata magoli kwa jinsi wanavopata chance za kushambulia mara kwa mara.... kwa sababu tunawaachia wacheze wanavotaka.... kitu ambacho wenzetu hawaruhusu adui akae na mpira akiwa huru.
Ila mkuu kama unaiona MU inatisha kwenye epl, bora nikae kimya tu. Ndio maana tunatafuta droo tukicheza na timu kubwa. Halafu nnachoshangaza MOU analamika anasema timu zikija trafford zinakuja kudefend tu, wakati yeye mwenyewe ndio mchezo wake....
Hodi hodi naingia.
Salaam mashabiki wa man u.
Poleni kwa kipigo.maana mpira hamjui.
Watoto wa mchangani.wamewatoeni jasho.
Man u sio team.bora mkacheze rede
ni mourinho mkuu
Timu yetu sijui iko na shida gani.
Ibra sijui aliongezewa mkataba wa nini.
Mourinho kweli hamna kitu
Nilikuwa natania mkuuAhahaaaaaaaaaaah...
Ulikua serious au ulikua unatania..!?
Acha ujinga wewe hiyo mechi ya Leicester city tutacheza upuuzi mtupu mpaka utajidharau..Mnanichekesha sana hivi msimu uliopita alipobeba hili kombe top 6 hazikuwepo au zilitolewa zote na manchester united?
tunacheza mechi ya lig ifuatayo na leicester city tena nyumbani kwake kocha afanyanyaje nyuma chelsea point 3 mbele city point 11
Acha ujinga wewe hiyo mechi ya Leicester city tutacheza upuuzi mtupu mpaka utajidharau..
Mourinho hana plan B zaidi ya kulinda tu ...
Ni time ya yeye kusepa
Mashabik wa manchester bana ila siwez kukushangaa ndivyo tulivyo watanzania.Acha ujinga wewe hiyo mechi ya Leicester city tutacheza upuuzi mtupu mpaka utajidharau..
Mourinho hana plan B zaidi ya kulinda tu ...
Ni time ya yeye kusepa
Ujinga ni kashifa??!!!!!!!!!Tumia lugha nzur toa wazo lako bila kashfa
NashukurUjinga ni kashifa??!!!!!!!!!
Mjinga kweli wewe
man u sio timu ya kubeba kombe lolote....ni timu ya kushiriki tu na kusindikiza wenzao
Jana bana tulicheza mpira wa hovyo sana hatukuweza hata kukaa na mpira sekunde kumiPoleni sana fans wa Man u wote huo ndio mpira prondo na radika
Ila nasikia mlikuwa mnamkimbia man city
ni lini man u ilicheza mpira mzuri si zote ndio huo huo wa hovyoJana bana tulicheza mpira wa hovyo sana hatukuweza hata kukaa na mpira sekunde kumi