Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Point number tatu, nipo wrong but hizo mbili am 100% sure.
Lecazatte +ozil + Sanchez =15
Lukaku= 10
footprints za fergie bado zipo
Akutukanae hakuchagulii tusi na jambo la kujifariji mtu anweza kusema lolote tuwavumilie tu ndugu zetu hawa.Timu yenye vikombe 20 vya ligi ni ndogo kwa timu yenye vikombe 3.
But sema hivi;
Lacazette 8
Lukaku 10
Halafu angalia na dakika walizocheza
Ozil ni kiungo c mshambuliaji
Hapo hutakuwa umekosea
Sijakuelewa Mr RadikaNi nini kinamfanya asicheze?
Hii dili ngumu mno kwanza mchezaji mwenyewe anaipenda real madrid naona mawakala wameanza kufanya yao ili madrid wazindukeReports claim Manchester United have entered the race to sign Eden Hazard!
Nakuongelea wewe, siyo fans in general! Mzee inawezekana una comprehension deficiency. Yaani unarukaruka kama mahindi kwenye popcorn machine! Kwani nafanya discussion na fans wote ama wewe?
Do you have membership card? Have you ever bought a ticket to from United’s ticket sales? Do you have even a genuine United’s merchandise?
Anyways, I’m not going to respond to you anymore. You have so much negativity that I don’t want to read or hear in this festival season!
One love!
Ona ulichoandika mwenyewe.... JOSE hawajibiki kwetu sisi MASHABIKI au umesema hawajibiki kwako CHILUBI?Mwenye haki ni mwajiri wake, the Glazers na bodi ya United. Pili, huchangii hata senti 1 kwenye majukumu ya José pale OT! José hawajibiki kwetu sisi mashabiki.
Ndio, timu zinapokuja trafford au hata kwao zinakuja zikiwa na belief kuwa tunaweza kupata point 3. Hio kucheza 40 games at home unbeaten sio sababu ya kuifanya timu kuiogopa MU. MU haitishi kama ilivokuwa inatisha, saivi tunajulikana kama wazee wa kupark basi tu. Ata WBA game ya juzi wameonesha ari ya kusaka magoli...... Ivi hushangai kwanini timu hizi hizi ambazo ni miwa zinapoenda kucheza na Arsenal au MC au LFC huwa zinahaha kama mtu aloanguka na kifafa lakini wakija kucheza na MU wanajikaza?Mourinho kafungwa mechi mbili tu OT, sasa unavyosema timu zinakuja OT kuchukua points 3 sikuelewi. Umeandika mambo mengi lakini yote hayana maana.
Ndio, timu zinapokuja trafford au hata kwao zinakuja zikiwa na belief kuwa tunaweza kupata point 3. Hio kucheza 40 games at home unbeaten sio sababu ya kuifanya timu kuiogopa MU. MU haitishi kama ilivokuwa inatisha, saivi tunajulikana kama wazee wa kupark basi tu. Ata WBA game ya juzi wameonesha ari ya kusaka magoli...... Ivi hushangai kwanini timu hizi hizi ambazo ni miwa zinapoenda kucheza na Arsenal au MC au LFC huwa zinahaha kama mtu aloanguka na kifafa lakini wakija kucheza na MU wanajikaza?
Kama ntakuwa sikosei, hata Man city wamefungwa magoli 7 wakiwa kwao, lakini ni big threat in his home turf than Man utd. A threat comes when you play attacking football. Arsenal was a threat when they play United, we were opportunists. Shots 33 arsenal wamepata kwa 8 za MU....Kama hizo timu zikikutana na Arsenal zina haha mbona Arsenal yuko nafasi ya 5 na Man United ambayo haigopeki iko nafasi ya pili? Na Pale OT wameruhusu goli 3 tu msimu huu, pale Emirates wameruhusu goli 7, je ni nani anaogopwa akiwa kwake?
Naomba takwimu zinazosapoti maelezo yako.Kama ntakuwa sikosei, hata Man city wamefungwa magoli 7 wakiwa kwao, lakini ni big threat in his home turf than Man utd. A threat comes when you play attacking football. Arsenal was a threat when they play United, we were opportunists. Shots 33 arsenal wamepata kwa 8 za MU....
Ndio maana nakwambia Timu nyengine zikija Trafford zinaamini zinauwezo wa kupata magoli kwa jinsi wanavopata chance za kushambulia mara kwa mara.... kwa sababu tunawaachia wacheze wanavotaka.... kitu ambacho wenzetu hawaruhusu adui akae na mpira akiwa huru.
Ila mkuu kama unaiona MU inatisha kwenye epl, bora nikae kimya tu. Ndio maana tunatafuta droo tukicheza na timu kubwa. Halafu nnachoshangaza MOU analamika anasema timu zikija trafford zinakuja kudefend tu, wakati yeye mwenyewe ndio mchezo wake....
Tizama mechiNaomba takwimu zinazosapoti maelezo yako.
Jibu zuri sanaTizama mechi
Ndo inavotakiwa, kuna wakati mtu ukubali tu japo shingo upande. Mechi zinajieleza wenyeweJibu zuri sana
Nb.Sipo kishabiki hapa