Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

027488d6038d6e93aed76a1f0d9b7146.jpg
 
2-0 wana sababu gani ya kukimbizana wajichoshe au waumie December hii? Jumatano kuna mechi,jumamosi mechi yaani kila siku tatu mechi mpaka mwaka mpya.
Nimekusoma mkuu umeonamechi ishakuwa ngumu kwa kacheza kwa kujilinda wakati mechi nyepesi ilikuwa tusiangalie mechi kishabiki
 
Back
Top Bottom