Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Paniki 2 mkubwa hujazuiwaTushakupuuza sisi we hangaika ukitoka hapa nenda kule madrid
Pia sijui wapi nimemlinganisha lukaku na lacazatte mara sijui rooney mara sijui ibra upo sawa sawa wewe kichwani kweli wenger hajakuacha salama fuatiia tunachopost wenzio halafu angalia na utumbo unaojibu utajigundua dish limeyumba lukaku kwa kukusaidia hajafeli ana goli 9 na assist 4 uefa ana goli 4 huoni kama faida?
Barca wana mpira gani!!!,sawaDogo akili yako haiko sawa wapi kwenye coment yangu nimeizungumzia barca uwezo wake sawa na united? Nimezungumzia vizaz na upitaji wao na amekujaje hapa haya tuje kwa huyo huyo uliemleta.
Barca wana mpira gani wewe? Hata mm nshamnyoosha mara mbili zote nusu fainali na nimenyakuwa ndoo kupitia barca labda kwa kuwa anawafumua arsenal kila mkikutana nae hatua ya 16 mnarud kwenu umamua kuhamia barca
Nakuuliza msimu ulioisha pep kabeba nn na mourinho kabeba nini unatoa maelezo yasiyo na tija alipigika kisawasawa had kawakimbilka wakina walker yule angepewa united angeishusha daraja muone mourinho had muda huu hana papara wakina lingard wanapata namba na wanakufumua.
Daaa ndugu umeongea kwa uchungu na ukweli mtupu, mimi sijui wanaomtetea Mou kwa hii staili ya uchezaji wanapata wapi uhalali huo. Nadhani hata utamaduni wa klabu yao ule ambao mashabiki pale OT wamekuwa wakifanyia chanting Attack! Attack! Attack! Hawaujui.
Sijaelewa hoja yako apa, lakini naweza kusema kuwa, kwa ulichoandika hakina maana mbaya wala kama leongo ilikuwa ni ku mock us, i find it a big failure.It is not manchester united,It is united of manchester
Quote me and ofcourse iw ill respond, nimeona kimya nkajua tayari mmemaliza kutafakari, eti msimu alochukua ubingwa Man utd kombe kapewa Arsenal?Povu lako hilo ulilolitoa kwenye post yako
Aisee we jamaa unachekesha.Kule kwetu umepakimbia naona umeamua kurudi kwenu kulia na wenzako
Ukuje ukuje usiwe unakimbia
Mwanaume hakimbii
Mkuu unasema hukuona tukipaki bus? Unatania ukisema ivo. We parked the bus. Na sio sawa hasa kocha kutwambia eti Pogba is not in the team ndo mana tukafungwa. Yes Pogba ni important, but as a manager, you should have a back up. and he had time to prepare for that. The moment P amepewa Red Mou anatakiwa awe ashajua what to do.Mkuu chilubi lingard,rashford,martial,lukaku hapo nani mkabaji? Hapo hamna mchezaj wa kukaa ni mipira mguuni hao wote washambuliaji wakukimbia unapoambiwa tumemkosa pogba sio kwa bahat mbaya angekuwepo hao unaowaona wana madhara sana ila hatukuwa na pogba ndo mana timu yetu ilihangaika sana katkat kiungo cha kuokota mipira hapo kama uliona silva aliokota mipira mingi katkat sikuona kupak bus hapo ndo mana tumefungwa kizembe kwa kuwa hata goli zao uliona city hawakuwa kwenye ubora wao ila sio timu ya kubeza ni timu nzur sisi shida ni namba 10 tu angalia makosa ya otamend na company utajua hilo
Wakienda na trend hii city ya zile beki pale anfield itakiwa habar nyingine hata kwa chelsea tu usiangalie kufungwa kwake.
Perhaps,you may be correct according to your viewSijaelewa hoja yako apa, lakini naweza kusema kuwa, kwa ulichoandika hakina maana mbaya wala kama leongo ilikuwa ni ku mock us, i find it a big failure.
Mlichukua ubingwa halafu kombe tukapewa sisi? Mmhhhhh hayo ni mameno yako mwenyewe mi cjaandika hivyoQuote me and ofcourse iw ill respond, nimeona kimya nkajua tayari mmemaliza kutafakari, eti msimu alochukua ubingwa Man utd kombe kapewa Arsenal?
Ndio maaana nakwambia humjui Mourinho,approach ya Mourinho kwenye big match haijawahi kubadilika.SAF aliwahi kumfunga Mourinho mora moja tu kwenye EPL na huwa anafungwa na timu ndogo kuliko timu kubwa sababu ya hiyo approach since yuko Chelsea alivyoenda Madrid akarudi Chelsea same approach.Chelsea iliitwa timu ya kupaki bus sababu ya Mourinho
katika ule uzi wenu, kuna mwenzako alikuja kutetea kuchukua back to back title, akaitaja mismu miwili mfululizo ambao mmoja kachukua arsenal na mwengine Man utd..... akadai yote kachukua arsenal kisha anajiona ndo mfatiliaji wa mpira wa zamani.....Mlichukua ubingwa halafu kombe tukapewa sisi? Mmhhhhh hayo ni mameno yako mwenyewe mi cjaandika hivyo
By the way man u fans mnanichosha.Mnafanya napoteza time sana kisa kuqoute post zenu
Asee baki na endelea na timu yako.Yamkini utaokota hela
Perhaps,you may be correct according to your view
But,haitabadilisha ukweli juu ya timu yenu ya sasa
Man u is a good team,Yes. Are you capable enough to compete with best teams in Europe? I really don't know the correct answer of such a question
Unafikir tunajaajaa tuArsenal wameshindwa kujaza uwanja wao Leo, dalili mbaya kabisa.
Si kuukubali ukweli huo ndo ukweliHii ni ajabu kuona mshabiki wa arsenal, akijaribu kuukubali ukweli. Player wise, Man utd is capable of competing with the best teams in Europe, tena naona this time, inaweza kabisa. I personally was dissapointed kuona tumepangiwa Sevilla. Hamu yangu ilikuwa nikutanishwe aidha Real madrid au Barcelona, sio sevilla.
Lakini all in all, naamini timu ambayo inaweza kuitoa MU UEFA ni timu kutoka Uingereza. Ndio ninawapa probability kubwa
Umewasemea haahhaa!Unafikir tunajaajaa tu
Uhakika wa ushindi leo ss hatubahatishi
Nb:sijataja jina la timu hapo
Akiendelea kupayuka payuka kama mwehu, we mpuuze wala hata usiumize kichwa kumjibu.Tushakupuuza sisi we hangaika ukitoka hapa nenda kule madrid
Pia sijui wapi nimemlinganisha lukaku na lacazatte mara sijui rooney mara sijui ibra upo sawa sawa wewe kichwani kweli wenger hajakuacha salama fuatiia tunachopost wenzio halafu angalia na utumbo unaojibu utajigundua dish limeyumba lukaku kwa kukusaidia hajafeli ana goli 9 na assist 4 uefa ana goli 4 huoni kama faida?
Nimewasemea kina nani?Umewasemea haahhaa!